Kwa kweli taifa stars mimi siipendi kabisa, jana kuna shabiki mmoja wakati wa mapumziko radio free afrika alicomment akiitakia ushindi chad kwani aliona ni jinsi gani timu inavyocheza kwa kubahatisha, fukuzeni huyo babu poulsen, hana faida kwa timu yetu, tunategemea nini tukijapambana ivory...