Recent content by Babaubaya

  1. Babaubaya

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa vigezo vya kupandisha vyeo na mishahara watumishi wa umma

    Mauza uza yanaendelea
  2. Babaubaya

    JamiiForums Tanzania BAHIMA Empire na uchaguzi butu 2020

    Mmmh,Kazi ipo Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
  3. Babaubaya

    JamiiForums Tanzania Nani anagharamia matumizi ya Lema, Msigwa na Mbowe huko Nairobi?

    Inaonekana hata yeye hajachangia Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
  4. Babaubaya

    JamiiForums Tanzania Jaribio la mauaji kwa Tundu Lissu: Maadui zetu wamebaini kupenyezewa "kirusi"?

    ama kwa hakika ni changa la macho
  5. Babaubaya

    JamiiForums Tanzania 2055 ni zamu ya ZNZ kutoa Rais

    Kwani tatizo ni wao kutoa rais au ni mwenendo mzima wa kura za wanaochagua?
  6. Babaubaya

    JamiiForums Tanzania Mbowe amejuaje aina ya silaha iliyotumika kabla ya jeshi la polisi?

    Unatarajia mtu alikuwa ndani ya gari kama lile anaweza sikia mvumo wa kutoka nje ya gari tena akiwa anashambuliwa? Nadhani watu walioko nje ndio wanaoweza kusikia kwa ufasaha aina ya milipuko,na usisahau kwamba wengine katika hao walishapita JKT na hivyo kufahamu baadhi ya silaha
  7. Babaubaya

    JamiiForums Tanzania Mbowe amejuaje aina ya silaha iliyotumika kabla ya jeshi la polisi?

    Kusoma hujui,hata picha nazo pia huoni? huu urasimu ndio ambao unapindishaga ukweli,eti mtu unaona kabisa kwa macho ya nyama kwamba hii kitu ni YELLOW, but kwa kua sio msemaji unapingwa na yule mwenye mamlaka amatangaza kwamba kitu kile kile mlichokiona kwamba ni cha YELLOW eti ni RED na wote...
  8. Babaubaya

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Jumapili hii nitaongoza maombi maalumu kumuombea Tundu Lissu

    Usimuhukumu Pastor Gwajima,maombi yanautaratibu tofauti,yaani kuna maombi binafsi ambayo sio lazima yatangazwe,kisha kuna maombi ya mapatano au ya pamoja,hapa watu(washirika) huarifiwa ili kuweza kushiriki ikibidi kwa kufunga. Bila shaka ndio maana yake akatangaza kuongoza maombi ya kanisa zima
  9. Babaubaya

    JamiiForums Tanzania Mbowe kulipua ufisadi wa Bomba la Gesi

    Ila hawa jamaa mi nadhani wamevurugwa,wanatuhumu ufisadi wa Mh.Mbowe kwemye ruzuku ya chama,mbona hawaleti ushahidi kama wenzao wafanyavyo? Chademaaaa,kamata mwizi men
  10. Babaubaya

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu mishahara ya walimu

    Ingia uone utamu wa ngoma
  11. Babaubaya

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mdahalo wa Katiba: Jumanne, Tarehe 25 Novemba, 2014

    Wengine hatuna tv wal redio,tunafuatilia hapahapa mkui,mdahalo sio mbaya
  12. Babaubaya

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mdahalo wa Katiba: Jumanne, Tarehe 25 Novemba, 2014

    Wengine hatuna tv wal redio,tunafuatilia hapahapa mkui,mdahalo sio mbaya
  13. Babaubaya

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Majina ya Vigogo waliolipwa pesa za ESCROW

    Hivi hiyo ESCROW ni kwa ajili ya wahaya pekee? Maana naona idadi kubwa ni wahaya tu.
  14. Babaubaya

    JamiiForums Tanzania NYARAKA: Katiba Inayopendekezwa Oktoba, 2014 (Tanzania's Proposed Constitution)

    Kuandika Katiba kwa kushirikisha wananchini sawa, Kuandika katiba kidemokrasia zaidi ni sawa, lakini tunatakiwa kuangalia mbali zaidi ya hapo. Umewashrikisha watu, watu gani? Demokrasia zaidi imetumika, demokrasia gani? Katiba ni bora bora kwa nani? Kama unawashirikisha watu amabo hawako...
  15. Babaubaya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vyakula vinavyoleta ashiki (Foods That Make You Horny)

    Haaa!,mbona sasa mimi situmii kwa sana hivyo vyakula lakini leo mashine yangu imeaimama dede tangu saa10 alfajiro hadi sasa,imebidi niende hospitali wandugu,yaani inauma mbaya na sijapata jibu la hali hiyo.
Back
Top Bottom