2055 ni zamu ya ZNZ kutoa Rais | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

2055 ni zamu ya ZNZ kutoa Rais

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by blessings, Jul 26, 2017.

 1. b

  blessings JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2017
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 5,043
  Likes Received: 2,841
  Trophy Points: 280
  Itakapofika mwaka 2055 utakuwa wakati muafaka kwa ndugu zetu toka ZNZ kutoa kiongozi was nchi hii. No vema nao wakatoa kiongozi mkuu was nchi baada ya kipindi kirefu ya maraisi tolast bara. Asanteni
   
 2. W

  Waziri kivuli JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2017
  Joined: Nov 30, 2016
  Messages: 2,311
  Likes Received: 2,496
  Trophy Points: 280
  Nani kawapa haki hiyo???Haiwezi tokea!!!
   
 3. b

  blessings JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2017
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 5,043
  Likes Received: 2,841
  Trophy Points: 280
  Kumbuka ZNZ ni sehemu ya Jamhuri hivyo want haki hiyo
   
 4. W

  Waziri kivuli JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2017
  Joined: Nov 30, 2016
  Messages: 2,311
  Likes Received: 2,496
  Trophy Points: 280
  Haiwezekani nchi iwe na Marais wote kutoka Zanzibar!
  Basi 2025 iwe zamu ya mtanganyika kuongoza zanzibar!!!!
   
 5. b

  blessings JF-Expert Member

  #5
  Jul 26, 2017
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 5,043
  Likes Received: 2,841
  Trophy Points: 280
  Tuombe uzima 2055 Maalim akiapishwa
   
 6. MasterP.

  MasterP. JF-Expert Member

  #6
  Jul 26, 2017
  Joined: Jun 5, 2013
  Messages: 4,377
  Likes Received: 2,076
  Trophy Points: 280
  ...Lakini Zanzibar ni nchi, na ni wazanzibari wenyewe ndo wanataka kutambuliwa hivyo kwa utaifa wao wa uzanzibari! Na ukitaka ugomvi na mzanzibari yeyote hebu sema tu kuwa Zanzibar si nchi ila ni sehemu tu ya jamhuri ya muungano..! Sasa kama wana nchi yao ni kwa nini watake kuupata urais kwenye nchi nyengine(bara)?
   
 7. mnengene

  mnengene JF-Expert Member

  #7
  Jul 26, 2017
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 927
  Likes Received: 449
  Trophy Points: 80
  Acha hizo wewe, nani kakwambia hadi 2055 kutakuwa na huu muungano? Kimsingi utakuwa umekwishavunjika, wazanzibar waachwe wajitawale.
  Ifike mahali huu ukoloni mambo Leo Wa Tanganyika dhidi ya Zanzibar na ukome sidhani kama utaendelea kuwepo hadi hiyo 2055
   
 8. mapinduzi daima

  mapinduzi daima JF-Expert Member

  #8
  Jul 26, 2017
  Joined: Sep 30, 2013
  Messages: 847
  Likes Received: 914
  Trophy Points: 180
  2020 ni Mwinyi Jr kule visiwani
  2025 ni Kasimu or Mwinyi Jr or Makame huku Nyika
  ....chukueni hili Wananchi wenzangu

  Chief Economist
   
 9. Davooo

  Davooo JF-Expert Member

  #9
  Jul 26, 2017
  Joined: Jun 4, 2016
  Messages: 365
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 80
  Mwinyi Jr 2025 huku nyika tena?ataongoza kule mhula mmoja?
   
 10. b

  blessings JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2017
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 5,043
  Likes Received: 2,841
  Trophy Points: 280
  Mwinyi Sr. Kaanza kumtengenezea wepesi mwanae kwa Mwenyekiti (jembe baki) ili iwe rahisi kwenye kupitisha majina 2020. Maalim wakati huo atakuwa kashaanzisha chama chake maana Prof. Hatampitisha asilani kwenye KUF
   
 11. Youngblood

  Youngblood JF-Expert Member

  #11
  Jul 27, 2017
  Joined: Aug 1, 2014
  Messages: 11,452
  Likes Received: 33,542
  Trophy Points: 280
  Zanzibar ni koloni la Tanganyika

  Sent using Jamii Forums mobile app
   
 12. b

  blessings JF-Expert Member

  #12
  Jul 27, 2017
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 5,043
  Likes Received: 2,841
  Trophy Points: 280
  Phatuma Parume naona anapiga jaramba
   
 13. b

  blessings JF-Expert Member

  #13
  Sep 8, 2017
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 5,043
  Likes Received: 2,841
  Trophy Points: 280
  2055 Huku karume Huku Lizzus. Pataaamu
   
 14. Babaubaya

  Babaubaya Member

  #14
  Sep 8, 2017
  Joined: Oct 21, 2014
  Messages: 42
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Kwani tatizo ni wao kutoa rais au ni mwenendo mzima wa kura za wanaochagua?
   
 15. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #15
  Sep 9, 2017
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,084
  Likes Received: 7,314
  Trophy Points: 280
  Ha ha haaaa,
  Pengine ikifikia huo muda Zanzibar itakua ni nchi huru inayojitegemea
   
 16. b

  blessings JF-Expert Member

  #16
  Sep 9, 2017
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 5,043
  Likes Received: 2,841
  Trophy Points: 280
  Ijitegemee kwa lipi? Hilo ni koloni letu Forever and Ever!
   
 17. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #17
  Sep 10, 2017
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,569
  Likes Received: 18,328
  Trophy Points: 280
 18. b

  blessings JF-Expert Member

  #18
  Sep 13, 2017
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 5,043
  Likes Received: 2,841
  Trophy Points: 280
  Tumirogwa? Inasikitisha tuna tabia inayofanania maiti
   
 19. radika

  radika JF-Expert Member

  #19
  Sep 13, 2017
  Joined: Jul 15, 2014
  Messages: 10,535
  Likes Received: 12,326
  Trophy Points: 280
  Ngumu kumeza
   
 20. mbere

  mbere JF-Expert Member

  #20
  Sep 13, 2017
  Joined: Mar 5, 2015
  Messages: 5,725
  Likes Received: 4,313
  Trophy Points: 280
  Ana umri gani sasa hivi hadi agombee miaka 38 ijayo?
   
Loading...