Recent content by Babaside

  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naona aibu kuwaambia ndugu zangu kuwa nimepata mchumba kutoka kabila la warangi

    Huyu ni wa kondoa sio wa marekani kumbuka hilo
  2. B

    JamiiForums Tanzania Hence proved. Mbeya ni kijiji kikubwa

    Na vitambi
  3. B

    JamiiForums Tanzania Hence proved. Mbeya ni kijiji kikubwa

    Wanavyuo hao ye alikuwa anazungumzia wenyeji
  4. B

    JamiiForums Tanzania Watu waliotajwa zaidi kwenye nyimbo za kikongo

    Erick mandala
  5. B

    JamiiForums Tanzania MC Mtoto ila yanayomtoka si umri wake, imekaaje?

    Hizi ni zile familia ambazo baba anaishi ukweni yaani nyumbani kwa wazazi wa mkewe kwa hiyo huenda dogo huwa anaona babaake akichambwa na mamaake
  6. B

    JamiiForums Tanzania Bull Forge wanunuzi wa ngozi kavu na pembe za ngombe.

    Malawi mji gani na bei zikoje ?, pia mambo ya custom yakoje?
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Kununua ni bora mara mia kuliko mahusiano

    Unayemwona mpya hapo, anaweza kuwa expired alikotoka 😀😀😀
  8. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mfanyakazi wa CRDB afariki akifanya mazoezi Daraja la Tanzanite

    Wapendwa nafikiri kuna mapungufu kidogo ya kiuwakilishaji wa taarifa kitu ambacho kimepelekea baadhi ya wachangiaji kuja na comment zisizopendeza zikiwemo zenye viashiria vya kikejeli , ilivyo ni kwamba huyu marehemu aligongwa na gari akiwa mazoezini na ndicho kilichopelekea umauti wake.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Pajue Iringa kwa kupitia picha

    Umesahau semtema
  10. B

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

    Achana na mjinga huyo, usirudishwe nyuma na mpuuzi mmoja anayetaka kutuharibua burudani.
  11. B

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

    Acha kujibishana na mpumbavu watu watashindwa kukutofautisha naye, kukaa kimya ni jibu kwa mtu wa aina hiyo cause kumjibu ni kumpa attention aweze kuendeleza upuuzi wake.
  12. B

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

    Futa kauli mzee, katika waandishi ambao hawana mbambamba humu jukwaani huyu mwamba ni namba moja, na ukumbuke hii sio kazi yake kuu ana majukumu mengine lakini kila siku lazima a post, kuna wangapi humu anawatupia episode nne halafu mwendelezo njoo WhatsApp, so kuwa mvumilivu subiri burudani.
  13. B

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

    Dah hii stori imenikumbusha mbali sana kuna kipindi tulikuwa tunaangalia tamthilia fulani itv but ilikuwa ya wakenya ikiitwa tausi watu walikuwa wanatoroka hadi kwenye shughuli muhimu kuiwahi, sasa hapa kuna mfuatiliaji mmoja kanichekesha sana maana baada ya kuona hii episode ya mchana...
Back
Top Bottom