SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

kwanini umewaacha wamerawanyika vyombo wameacha hapo hapo halafu baadaye waanze kulalamika njaa
Basi hakuna shida kwa leo ntawatolea ila kesho walipishe fain tu,alf kuna watu waroho sana ikifika usiku wanakua wa kwanza kuwahi jamvini
 
HAWA WALETA SIMULIZI WANAVOANZA WANAACHIA EPISODE ZA KUTOSHA ILA MWISHONI WANAANZA MARINGO HADI WABELEZWE.. SO SAD
Futa kauli mzee, katika waandishi ambao hawana mbambamba humu jukwaani huyu mwamba ni namba moja, na ukumbuke hii sio kazi yake kuu ana majukumu mengine lakini kila siku lazima a post, kuna wangapi humu anawatupia episode nne halafu mwendelezo njoo WhatsApp, so kuwa mvumilivu subiri burudani.
 
Back
Top Bottom