SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

Acha kujibishana na mpumbavu watu watashindwa kukutofautisha naye, kukaa kimya ni jibu kwa mtu wa aina hiyo cause kumjibu ni kumpa attention aweze kuendeleza upuuzi wake.

Wacha weeeee.... Umekariri haya maneno. Kariri na Quran basi tukuone wa maana.
 
UKIJIONA WEWE WANACHOFANYA WENGINE WEWE HUWEZI UNAKAA KIMYA NA KUTEMBEA HUWEZI UKAJIFANYA UNAKUNYWA POMBE ZA BEI HALAFU UKAENDA KILABUNI KUJISIFU KUWA HUNYWI POMBE ZA BEI RAHISI NA WAKATI HUO UMEKAA HAPO HAPO, UNAKUWA HUNA AKILI.

Abou Shaymaa leta tembele, tumeshaandaa debe la ulanzi hapa,
 
Kwasababu umekuja kusoma na unajifanya husomi, wewe soma kimya kimya sio unijifanya unadis huku unasoma Pili pili hoho we

Una IDs ngapi? Maana ulisahau kuwa hapa unatumia hii ya Daudi na ya Abou Sha....
 
UKIJIONA WEWE WANACHOFANYA WENGINE WEWE HUWEZI UNAKAA KIMYA NA KUTEMBEA HUWEZI UKAJIFANYA UNAKUNYWA POMBE ZA BEI HALAFU UKAENDA KILABUNI KUJISIFU KUWA HUNYWI POMBE ZA BEI RAHISI NA WAKATI HUO UMEKAA HAPO HAPO, UNAKUWA HUNA AKILI.

Abou Shaymaa leta tembele, tumeshaandaa debe la ulanzi hapa,
Sema jamaa anazidi kuuchangamsha huu Uzi. Nimeipenda hyo.

Usimchukulie siriaz sana, ndio mambo anapendaga haya, yaani hapa anasubili muendelezo aendelee kuinjoy.
 
Sawa mkuu nimekuelewa ila hizo nakuachia utunge wewe waburudike hao unao wataka hao uliowataja hakuna ulazima wa wote kutunga hizo... Shukran kwa ushaur

Sawa nitatunga na nitawapa hao watu wenye akili. Nawe nitakufundisha uwe na utunzi wa akili. Siyo wa matembele ya uani sijui chooni.
 
Back
Top Bottom