Recent content by BabaRizy

  1. B

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Xb, kidete 8il Sent using Jamii Forums mobile app
  2. B

    JamiiForums Tanzania Haitokuja kutokea Kampuni safi ya usafirishaji abiria Tanzania kama Scandinavian Express

    Kuna Shabiby, japo wana mabasi machache lakini kiwango chake cha huduma kipo juu. Ameanza hivi karibuni za Arusha, Nairobi n.k
  3. B

    JamiiForums Tanzania Anayeweza kutambua huyu ni mdudu gani

    Huyo ni konokono asiye na gambs
  4. B

    JamiiForums Tanzania QSAT DECODER

    Unazingua,hizo pasi ndefu ni maamuzi yako. Hela ya bando umetoa wapi? [emoji4][emoji4][emoji4]
  5. B

    JamiiForums Tanzania Fofauti ya Pesa, fedha na Hela ni ipi?

    Yote yana maana moja, ni aina au njia halali za kibali cha kuuza na/au kuna bidhaa. Maneno hayo yametokana na kwamba sisi kama watanzania tumewahi kutumia sarafu hizo kwa vipindi tofauti katika historia: *1. Fedha:* wakati wa utawala wa kiarabu ambapo fedha(silver) ndio ilikuwa standard currency...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Lori la Mafuta lapata ajali na kulipuka, watu 104 Wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa...(Picha zinaogofya)

    [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Na mwingine watu Wanahangaika kuokoa maisha ya watu yeye akajaribu kuiba baiskeli
  7. B

    JamiiForums Tanzania Msaada kukamilisha usajili wa taasisi isiyo ya kiserikali (NGO)

    Hilo jina mmesajili BRELA? NICHEKI INBOX
  8. B

    JamiiForums Tanzania Magufuli amhukumu mtuhumiwa wa UVCCM aliyeko mahakamani

    Wamesema hawawezi kuutumia kwa sababu ulioambatana na mambo ya kisiasa
  9. B

    JamiiForums Tanzania Pep Guardiola, Mwalimu bora wa miaka yote

    Zidane alimsajili nani
  10. B

    JamiiForums Tanzania Pep Guardiola, Mwalimu bora wa miaka yote

    Mbona wamemtimua mbadala wa Guardiola, yupo mwingine....
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kisheria PALESITINA hawana haki ya kudai mji wa Jerusalem.

    Jibu hoja swahiba, povu mali ya sabuni [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kim Jong-un: Kwani kuna nchi inayoitwa Israel hata Jerusalem uwe mji mkuu wake?

    Huyo nyang'au wenu Muhammad alikuwa Mwafrika?
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nimsomeshe kisha nimuoe aje kua mke(akimaliza form four)

    Kifupi wewe ni MBAKAJI, na miaka 30 inakuhusu. Acha wendawazimu, wanawake unaowataka wako wengi. Chekecha akili, vya mtelemko vitakugharimu
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nawauliza wana Simba wenzangu, Mohamed Dewji aliwahi kufanikisha lipi kwenye soka?

    Acha kujichanganya kaka, Simba ilipata mafanikio chini ya Azim Dewji. MO akaleta migogoro....
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Viongozi wa Serikali wameamua kuanza kumtembelea Tundu Lissu?

    What if wanamshawishi: 1. Avae gamba; au 2. Akaushie sakata lake la kupigwa, may be wameona litawaharibia Waiting to see
Back
Top Bottom