• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Msaada kukamilisha usajili wa taasisi isiyo ya kiserikali (NGO)

faru joni

faru joni

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Messages
458
Points
1,000
faru joni

faru joni

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2016
458 1,000
Habarini ndugu zangu pole na miangaiko ya hapa na pale

Niende kwenye maada moja kwa moja,

Baada ya kuangaika kutafuta ajira pasipo mafanikio yeyote nikaamua kuwatafuta wenzangu takribani 8 tuliosoma pamoja, tukaja na wazo wa kufungua shirika lisilo la kiserikali, baada ya kukubaliana kwa pamoja tukaanza harakati

Tulifanikiwa kupata jina,tukaanza usajili ngazi ya kata, wilaya na tukafanikiwa kumaliza kwa ngazi ya mkoa

Baada ya ngazi ya mkoa tukaambiwa tupeleke document zetu wizarani (maendeleo, jinsi na watoto) kule dodoma tukafanya ivyo

Baada ya kufika mkoani dodoma tukaambiwa tusubiri mpaka pale tutakapopigiwa simu

Tangu mwezi wa 2 mwaka huu mpaka muda huu ninapoandika hapa hatujapigiawa simu

Sisi wote 8 kwenye kikundi chetu Tumesomea mambo ya ulinzi na usalama wa miundombinu ya technolojia (CYBER SECURITY) ngazi ya DEGREE

Tulijichanga sana pale ilipoitajika pesa ya ku solve mambo madogo madogo ya usajili, na tuna malengo makubwa sana ya kujikomboa na dimbwi ili la ukosefu wa ajila na sio ivyo tu nia na madhumuni yetu makuu ni ku solve matatizo yanayosumbua jamii zinazotuzunguka ususani kwenye field hii ya mambo ya CYBER SECURITY

Mpaka muda huu tumekwama kwenye ngazi ya wizarani

Tunaomba yeyote anayeweza kutusaidia tuweze kuvuka hapo na kupata usajili atusaidie ili tuweze kuendelea na mambo yetu tuliokusudia kuyafanya kupitia taaluma hii yetu

Shirika letu litakuwa linausiana na mambo ya CYBER SECURITY

Wizarani tumeenda mara nyingi (mara ya mwisho ni week hii jumatatu) jibu lao ni moja tu subirini mpigiwe simu

Msaada wenu wapendwa, tunaamini jamii forum kuna watu wengi wenye nyadhifa mbalimbali

Shida yetu sio msaada wa pesa no, shida yetu tupate kusajiliwa tu basi

Karibuni sana kwa msaada
 
faru joni

faru joni

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Messages
458
Points
1,000
faru joni

faru joni

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2016
458 1,000
MODERATOR TYPING ERROR, NAOMBA UNILEKEBISHIE TITLE ISOMEKE "NGO", BADALA YA "INGO"....
 
L

Laki Si Pesa

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2018
Messages
2,837
Points
2,000
L

Laki Si Pesa

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2018
2,837 2,000
kama mmeshapata usajili ngazi ya mkoa nyie endeleeni na kazi atakaewauliza mwambieni mmeshasajili acheni uoga siku hizi TRA ni mpaka baada ya miezi 6, anzeni kupiga kazi ,
 
ras jeff kapita

ras jeff kapita

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Messages
9,129
Points
2,000
ras jeff kapita

ras jeff kapita

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2015
9,129 2,000
kama mmeshapata usajili ngazi ya mkoa nyie endeleeni na kazi atakaewauliza mwambieni mmeshasajili acheni uoga siku hizi TRA ni mpaka baada ya miezi 6, anzeni kupiga kazi ,
NGO hazipo kibiashara ni misaada....
kuisaidia jamii and the like.....
TRA hawapo kivile kwenye mambo hayo
anyway back to the Top nafikiri kuna mabadiliko ya sheria ya usajili wa NGOs inchini.....
Lkn pili fatilia kwa ukaribu pale pale Dom...
ofisini kwao
wana kauzembe flani ka kupigia watu simu ni mpaka ww mwenyewe uwafatilie Kwa karibu
 
L

Leonardo Harold

Member
Joined
May 13, 2019
Messages
76
Points
150
L

Leonardo Harold

Member
Joined May 13, 2019
76 150
Habarini ndugu zangu pole na miangaiko ya hapa na pale

Niende kwenye maada moja kwa moja,

Baada ya kuangaika kutafuta ajira pasipo mafanikio yeyote nikaamua kuwatafuta wenzangu takribani 8 tuliosoma pamoja, tukaja na wazo wa kufungua shirika lisilo la kiserikali, baada ya kukubaliana kwa pamoja tukaanza harakati

Tulifanikiwa kupata jina,tukaanza usajili ngazi ya kata, wilaya na tukafanikiwa kumaliza kwa ngazi ya mkoa

Baada ya ngazi ya mkoa tukaambiwa tupeleke document zetu wizarani (maendeleo, jinsi na watoto) kule dodoma tukafanya ivyo

Baada ya kufika mkoani dodoma tukaambiwa tusubiri mpaka pale tutakapopigiwa simu

Tangu mwezi wa 2 mwaka huu mpaka muda huu ninapoandika hapa hatujapigiawa simu

Sisi wote 8 kwenye kikundi chetu Tumesomea mambo ya ulinzi na usalama wa miundombinu ya technolojia (CYBER SECURITY) ngazi ya DEGREE

Tulijichanga sana pale ilipoitajika pesa ya ku solve mambo madogo madogo ya usajili, na tuna malengo makubwa sana ya kujikomboa na dimbwi ili la ukosefu wa ajila na sio ivyo tu nia na madhumuni yetu makuu ni ku solve matatizo yanayosumbua jamii zinazotuzunguka ususani kwenye field hii ya mambo ya CYBER SECURITY

Mpaka muda huu tumekwama kwenye ngazi ya wizarani

Tunaomba yeyote anayeweza kutusaidia tuweze kuvuka hapo na kupata usajili atusaidie ili tuweze kuendelea na mambo yetu tuliokusudia kuyafanya kupitia taaluma hii yetu

Shirika letu litakuwa linausiana na mambo ya CYBER SECURITY

Wizarani tumeenda mara nyingi (mara ya mwisho ni week hii jumatatu) jibu lao ni moja tu subirini mpigiwe simu

Msaada wenu wapendwa, tunaamini jamii forum kuna watu wengi wenye nyadhifa mbalimbali

Shida yetu sio msaada wa pesa no, shida yetu tupate kusajiliwa tu basi

Karibuni sana kwa msaada
Kama mpaka kwa level ya mkoa mmeshatambulika, nyie mngeanza kuchapa kazi, maana hata mkihitahi mkopo ule wa halmashauri mnaupata..
So, nyie endeleeni kazi zenu zikishaonekana usajili kirahisi tu mtaupata.
 
Rebeca 83

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Messages
10,593
Points
2,000
Rebeca 83

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2016
10,593 2,000
Hongereni kwa kuwa na wazo la kujiajiri pamoja
 
faru joni

faru joni

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Messages
458
Points
1,000
faru joni

faru joni

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2016
458 1,000
kama mmeshapata usajili ngazi ya mkoa nyie endeleeni na kazi atakaewauliza mwambieni mmeshasajili acheni uoga siku hizi TRA ni mpaka baada ya miezi 6, anzeni kupiga kazi ,
Shukrani kwa ushauri wako
 
faru joni

faru joni

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Messages
458
Points
1,000
faru joni

faru joni

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2016
458 1,000
NGO hazipo kibiashara ni misaada....
kuisaidia jamii and the like.....
TRA hawapo kivile kwenye mambo hayo
anyway back to the Top nafikiri kuna mabadiliko ya sheria ya usajili wa NGOs inchini.....
Lkn pili fatilia kwa ukaribu pale pale Dom...
ofisini kwao
wana kauzembe flani ka kupigia watu simu ni mpaka ww mwenyewe uwafatilie Kwa karibu
Shukrani mkuu kwa ushauri wako
 
faru joni

faru joni

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Messages
458
Points
1,000
faru joni

faru joni

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2016
458 1,000
Kama mpaka kwa level ya mkoa mmeshatambulika, nyie mngeanza kuchapa kazi, maana hata mkihitahi mkopo ule wa halmashauri mnaupata..
So, nyie endeleeni kazi zenu zikishaonekana usajili kirahisi tu mtaupata.
Shukrani mkuu
 
B

BabaRizy

Member
Joined
Oct 29, 2016
Messages
87
Points
125
B

BabaRizy

Member
Joined Oct 29, 2016
87 125
Hilo jina mmesajili BRELA? NICHEKI INBOX
Habarini ndugu zangu pole na miangaiko ya hapa na pale

Niende kwenye maada moja kwa moja,

Baada ya kuangaika kutafuta ajira pasipo mafanikio yeyote nikaamua kuwatafuta wenzangu takribani 8 tuliosoma pamoja, tukaja na wazo wa kufungua shirika lisilo la kiserikali, baada ya kukubaliana kwa pamoja tukaanza harakati

Tulifanikiwa kupata jina,tukaanza usajili ngazi ya kata, wilaya na tukafanikiwa kumaliza kwa ngazi ya mkoa

Baada ya ngazi ya mkoa tukaambiwa tupeleke document zetu wizarani (maendeleo, jinsi na watoto) kule dodoma tukafanya ivyo

Baada ya kufika mkoani dodoma tukaambiwa tusubiri mpaka pale tutakapopigiwa simu

Tangu mwezi wa 2 mwaka huu mpaka muda huu ninapoandika hapa hatujapigiawa simu

Sisi wote 8 kwenye kikundi chetu Tumesomea mambo ya ulinzi na usalama wa miundombinu ya technolojia (CYBER SECURITY) ngazi ya DEGREE

Tulijichanga sana pale ilipoitajika pesa ya ku solve mambo madogo madogo ya usajili, na tuna malengo makubwa sana ya kujikomboa na dimbwi ili la ukosefu wa ajila na sio ivyo tu nia na madhumuni yetu makuu ni ku solve matatizo yanayosumbua jamii zinazotuzunguka ususani kwenye field hii ya mambo ya CYBER SECURITY

Mpaka muda huu tumekwama kwenye ngazi ya wizarani

Tunaomba yeyote anayeweza kutusaidia tuweze kuvuka hapo na kupata usajili atusaidie ili tuweze kuendelea na mambo yetu tuliokusudia kuyafanya kupitia taaluma hii yetu

Shirika letu litakuwa linausiana na mambo ya CYBER SECURITY

Wizarani tumeenda mara nyingi (mara ya mwisho ni week hii jumatatu) jibu lao ni moja tu subirini mpigiwe simu

Msaada wenu wapendwa, tunaamini jamii forum kuna watu wengi wenye nyadhifa mbalimbali

Shida yetu sio msaada wa pesa no, shida yetu tupate kusajiliwa tu basi

Karibuni sana kwa msaada
 
Forum statistics

Threads 1,405,256
Members 531,953
Posts 34,482,152
Top