Nawauliza wana Simba wenzangu, Mohamed Dewji aliwahi kufanikisha lipi kwenye soka?

Hoja zipi wakati hata card ya uanachama una pesa za kwenda kijijini kwenu una hivi tumelogwa na nani wa Tanzania? Kwenye michezo majungu uko kwenye siasa balaa.
Nilijua nikimgusa Mo tu ni lazima makomandoo mtakurupuka .
 
ALIKUWA ILA MWAKA ANAMWAGA HELA PALE MSIMBAZI VIONGOZI WANAPIGA TEN PERCENT TU NA WAKATI MWINGINE HATA WACHEZAJI HAWAPATI HIZO HELA.MWAKA JANA TU WAKATI WA USAJILI KAWAPA SIMBA BILIONI MOJA NA CHENJI LAKINI NINA UHAKIKA NI WACHEZAJI WACHACHE SANA WAMESAJILIWA KWA DAU TULIOTANGAZIWA WENGI WAMEPEWA KIPOOZEA NA VIONGOZI WAKAPIGA MPUNGA MWINGINE ULIOBAKI WA MO DEWJI.NA NDIO MAANA NI AFADHALI AWE KATI YA MWENYE HISA NA MSIMAMIZI WA TIMU ILI AWEZE KUSIMAMIMIA VIZURI HELA YAKE.WENGI WASWAHILI WA DAR WANAKULA KWASABABU ZA HELA ZA SIMBA NA YANGA.SASA TIMU ITAENDELEAJE AKIWA ANAMWAGA TU HELA KWA HAWA MCHWA BILA YA USIMAMIZI.NYIE WANAUME WENGI WA DAR KUANZIA MWAKANI MTAKOMA MIFEREJI YOTE ITABANWA.
Mkuu, hayo yote kwa nini asifanye Mbagala Market au Singida United.
Hapo Simba hata Bakhresa palimshinda kaanzisha Azam yake.
 
Kwanza naomba kukiri kwamba mimi ni Mwanasimba ( mmoja wa wachangiaji wa hela za kuendesha timu ) , ambaye sijaridhishwa na mchakato wa kumuuzia hisa za Simba mtu ambaye anayo historia ya wazi ya kushindwa .

Mohamed Dewji aliwahi kumiliki timu ya soka ambayo baadaye ilishuka daraja , hakuna aliyesahau hili , kama timu aliyoimilki kwa 100% iliporomoka , vipi hii 49% ? , kingine ni kwamba , huyu alikuwa mfadhili wa Singida United alipokuwa mbunge , kipi ilichofanikiwa timu ile , mbona ilishuka daraja na kupotea ? Shukrani kwa walioirejesha tena ligi kuu .

Kwenye mchakato wa kummilikisha hisa za Simba alishindanishwa na nani , yeye alipata kura ngapi na huyo mwengine alipata ngapi ? Tunauliza hivi ili baadaye msije kushikana mashati .

Majuto ni mjukuu .
Swali lingine la msingi. Wamepaje thamani ya Simba hadi waseme billion 20 ndiyo 51%

Mtu akija Yanga lazima ifanyike valuation kwanza
 
Kwenye mchakato wa kummilikisha hisa za Simba alishindanishwa na nani , yeye alipata kura ngapi na huyo mwengine alipata ngapi
Mchakato ulikuwa waz na waliombwa wote wenye interest za kununua asilimia zilizotajwa wajitokeze na hakuna aliejitokeza zaid yake so kama wewe ni mwana simba ambae unachangia kwa maelezo yale ya jumapil ungekuwa ushapata majibu.
Pitia huu uzi kwa maelezo zaid
Mo Dewji kumiliki 51% ya hisa za klabu ya Simba baada ya kuwa muwekezaji pekee aliejitokeza

C.c emmyta
 
Sijawahi kununuliwa
Nilikuwa natania tu.
Mfumo mpya unaweza kuwa mzuri kama utafanywa vizuri na kupewa watu stahiki. Experience ya Mo Mbagala Market na Singida United inaonyesha mashaka makubwa. Akiwa fed-up mwaka tu, ataiuza to the highest bidder.
 
Navyojua mimi Dewji huyu si yule wa zama za kale, huyu ni Mtoto wake, naamini ana mawazo mazuri mengi zaidi ya mtangulizi wake katika ukoo
 
Kwanza naomba kukiri kwamba mimi ni Mwanasimba ( mmoja wa wachangiaji wa hela za kuendesha timu ) , ambaye sijaridhishwa na mchakato wa kumuuzia hisa za Simba mtu ambaye anayo historia ya wazi ya kushindwa .

Mohamed Dewji aliwahi kumiliki timu ya soka ambayo baadaye ilishuka daraja , hakuna aliyesahau hili , kama timu aliyoimilki kwa 100% iliporomoka , vipi hii 49% ? , kingine ni kwamba , huyu alikuwa mfadhili wa Singida United alipokuwa mbunge , kipi ilichofanikiwa timu ile , mbona ilishuka daraja na kupotea ? Shukrani kwa walioirejesha tena ligi kuu .

Kwenye mchakato wa kummilikisha hisa za Simba alishindanishwa na nani , yeye alipata kura ngapi na huyo mwengine alipata ngapi ? Tunauliza hivi ili baadaye msije kushikana mashati .

Majuto ni mjukuu .
Kwenye mchakato yeye pekee ndiye aliyetia nia.
 
Nilikuwa natania tu.
Mfumo mpya unaweza kuwa mzuri kama utafanywa vizuri na kupewa watu stahiki. Experience ya Mo Mbagala Market na Singida United inaonyesha mashaka makubwa. Akiwa fed-up mwaka tu, ataiuza to the highest bidder.
Hizo timu umetaja hazina rasilimali watu, ndio chanzo kikubwa cha kufeli.
Azam yenyewe barhresa inamsumbua.
 
Mkuu, rasilimali watu na fan base ni vitu viwili tofauti. Azam wana rasilimali watu wa kuendesha timu wenye sifa zote. Lakini hawana fan base kubwa.
Kama Mo angekomaa na Singida United, angefanikiwa bila shaka. Sio mvumilivu. Labda ujana.
 
Kwanza naomba kukiri kwamba mimi ni Mwanasimba ( mmoja wa wachangiaji wa hela za kuendesha timu ) , ambaye sijaridhishwa na mchakato wa kumuuzia hisa za Simba mtu ambaye anayo historia ya wazi ya kushindwa .

Mohamed Dewji aliwahi kumiliki timu ya soka ambayo baadaye ilishuka daraja , hakuna aliyesahau hili , kama timu aliyoimilki kwa 100% iliporomoka , vipi hii 49% ? , kingine ni kwamba , huyu alikuwa mfadhili wa Singida United alipokuwa mbunge , kipi ilichofanikiwa timu ile , mbona ilishuka daraja na kupotea ? Shukrani kwa walioirejesha tena ligi kuu .

Kwenye mchakato wa kummilikisha hisa za Simba alishindanishwa na nani , yeye alipata kura ngapi na huyo mwengine alipata ngapi ? Tunauliza hivi ili baadaye msije kushikana mashati .

Majuto ni mjukuu .
Umetumwa mkuu
 
mkuu sio 49 % ni 50%.

pia hawa watani waache tu ndugu yangu tuwape miaka miwili ya bila vikombe hakika watajuta na nishatabiri watakwenda kuanzisha timu yao.
 
Mkuu hakuna hoja ya kujibu hapo, mo ni mfanyabiashara kaja simba kufanya biashara na anawaeleza wazi kuwa timu itafaidika vipi na yeye atafaidika vipi mambo ya kutoa pesa za bure sasahivi hakuna, acha mambo yaendeshwe kisasa mkuu

walewale.
unapoongelea tumu unaongelea kipi ?
maana usisahau timu ni ya kwake kwasasa.
hizo share za wengine atakuja kuzinunua wakati muafaka.
 
ALIKUWA ILA MWAKA ANAMWAGA HELA PALE MSIMBAZI VIONGOZI WANAPIGA TEN PERCENT TU NA WAKATI MWINGINE HATA WACHEZAJI HAWAPATI HIZO HELA.MWAKA JANA TU WAKATI WA USAJILI KAWAPA SIMBA BILIONI MOJA NA CHENJI LAKINI NINA UHAKIKA NI WACHEZAJI WACHACHE SANA WAMESAJILIWA KWA DAU TULIOTANGAZIWA WENGI WAMEPEWA KIPOOZEA NA VIONGOZI WAKAPIGA MPUNGA MWINGINE ULIOBAKI WA MO DEWJI.NA NDIO MAANA NI AFADHALI AWE KATI YA MWENYE HISA NA MSIMAMIZI WA TIMU ILI AWEZE KUSIMAMIMIA VIZURI HELA YAKE.WENGI WASWAHILI WA DAR WANAKULA KWASABABU ZA HELA ZA SIMBA NA YANGA.SASA TIMU ITAENDELEAJE AKIWA ANAMWAGA TU HELA KWA HAWA MCHWA BILA YA USIMAMIZI.NYIE WANAUME WENGI WA DAR KUANZIA MWAKANI MTAKOMA MIFEREJI YOTE ITABANWA.

so mkaona jambo bora ni kumuizia timu ?
kwelo kabisa mnauza timu tena madalali ni hao wa FoodWorld na nyinyi mnakubali ?
kama waliwapiga kwenye usajili , wachezaji wanapigwa mishahara sembuse kwenye dili hili?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom