Recent content by Babafetty

  1. Babafetty

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Starlet Inauzwa

    Km uko serious, tuwasiliane tuzungumze .
  2. Babafetty

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Starlet Inauzwa

    3 M
  3. Babafetty

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Starlet Inauzwa

    Habari, Nauza Starlet, gari ipo katika hali nzuri sanaa, haina changamoto yoyote. Atakayenunua ni kutia mafuta na kuanza safari. Nko Dodoma, naomba mnunuxi wa moja kwa moja, ili kupunguza madalali. Mawasikiano 0713366393
  4. Babafetty

    JamiiForums Tanzania Kila inapokaribia mitihani napata stress kali nashindwa hata kulala naishia kupostpone chuo. Naomba msaada

    Kwanza pole sana mdau... nmesoma comments naona ushaambiwa umetupiwa pepo..[emoji1787][emoji1787][emoji1787], usikubali kudanganywa ukapoteza mda.. USHAURI WANGU: Iko hv.., kuna watu by nature ni wenye hofu ya juu sana.. ss hizi hofu zinatofautiana kati ya mtu na mtu.. inategemeana na aina ya...
  5. Babafetty

    JamiiForums Tanzania Neymar Jr alipelekea FIFA kubadilisha sheria ya upigaji penati

    Haka kastori kamekosa nyama ... Ila kazur kwa kupotezea mda kijiwen..!
  6. Babafetty

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kumsahau niliyempenda sana?

    Ndugu, Kwanza pole. Naelewa vzr hisia zako. Pole saana kk. Ila mi ningekushauri, kwanza kubali umeachana naye na ataolewa na mwingine, na ww utaoa mwingine. Then, nenda mbele nenda nyuma, km kwao wameshaleta zengwe na kwenu nmeona km kuna zengwe ktk hili.. hapo ndoa hamna.. mki lazimisha tu...
  7. Babafetty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania HIVI INACHUKUA MDA GANI MPAKA UTAKE TENA

    Mhh... Unamlisha vzr...?, Km unamlisha mabaki lazima uwekewe kiwango..., unamiandaa ki phychologia kabla.. au unarukia km unapanda guta... Kk hivi vitu havina formula... inategemea ntu na ntu... kuna watu hyo nne ni ndan ya siku... We ongeza care af uone tofauti... Ila na ww kula ss usidhanie...
  8. Babafetty

    JamiiForums Tanzania Kwa maafa ya Hanang' serikali iwe inasikiliza wazee

    Kazi ipo... kwa hyo unaamini wale wazee wangefanya kitu... hii haina tofauti kusikia mganga analia katepeliwa... hao wazee km kwel walikuwa na nguvu ya kuzuia wangewanyoosha hao watu wa maliasili...ili kulinda kizazi chao, cos familia za mali asili hazijaumia kulikk hao wazee... Kk land slide...
  9. Babafetty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba / Mke

    Habari Natafuta mchumba kisha awe mke, Mi ni kijana nnaye karbia miaka 40, Nna watoto wawili, kwa mama mmoja nliyeachana nae takriban mwaka na nusu toka sasa. Nafanya kazi taasisi moja ya Serikali, Naishi Dodoma kwa sasa baada Serikali kutuhamisha mwaka 2020. DIni ni Muislam, Mrefu...
  10. Babafetty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania mbona hii hamuipigii kelele, lakini kwa Kenya mnang'aka hadi mnatia huruma

    yan muda unavyozidi kwenda nazid kuwapuuza wakenya (poor rating). hv kwel nyie mnatumia Amerika km indicator ya kufanikiwa vita vya Corona...! be serious, take a data of how many Kenyan wanaweza enda America na kutumia fulsa hyo ya kutopimwa Corona wakat wa visa. Achen kutegemea mabepari kwa...
  11. Babafetty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru Kenyatta: Wakenya hawapaswi kujilinganisha na mataifa yanayoficha taarifa za COVID-19

    Mi namuelewa Mhe. Kenyatta, kapanic flan hivi. kachukua hatua alizoshauriwa na wataalam wake km kufunga mipaka, lockdown, kufunga shule na kuchukua mkopo kwa mabeparu ili tu atokomeze corona, ila mwisho hajapata matokeo chanya. Ss akisikia wapiga kura wanataka achukue hatua km za Tz lazma awe...
  12. Babafetty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania should be kicked out of EAC

    Katika vita yoyote hukosi wasaliti km ww.
  13. Babafetty

    JamiiForums Tanzania Uzito wa ndege

    Samahan, Unataka kununua ndege au umekosea, Hiz specification hazitakusaidia, we lipa kanauli kako, beba kabegi kako ka adidas panda uende, haya mengne ni mbwembwe tu[emoji125][emoji125][emoji125]
  14. Babafetty

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ya hovyo

    Ha ha ha, Kwa hyo umefikiria mpk mwisho, ndo ukaamua kuja na hii[emoji1][emoji1][emoji1], Hivi umeenza linj kuwa mjinga hv. Njoo na idea positive, kulalamika tuuu kila siku.
  15. Babafetty

    JamiiForums Tanzania Nimemeza kipande cha toothstick kwa bahati mbaya, nini madhara yake.

    Kuwa serious, Nna tatzo af unaleta masihara..
Back
Top Bottom