Tanzania ni nchi ya hovyo

Tanzania ni nchi ya hovyo

Acha uboya . Hypocrisy and naive patriotism is the biggest problem to you dummies .
Tanzania is a fucking shithole and it will be so forever and ever. That's why even those stupid crooks in power drags you people in what ever way they want to . I guess you are even ready to eat their poops .
Yaani hapo unajiona black American ... 🤣🤣🤣
 
Watanzania tujaribu kutembelea nchi zingene tuone maendeleo halisi, good and efficient planning both urban and rural, barabara bora zaidi sio Mfugale flyovers.

Karibuni Botswana na Namibia, juzi kati nilitembelea nchi ya Domican Republic ipo Carribean ni nchi poa sana.

Muone mipango miji, Dar es salaam ni kijiji chenye wakazi wengi with poor infrastructure.
2/3 years ago Wayne Rooney alipotembelea Dar akiwa na timu yake ya Everton waliita Dar eti ni "big fishermen's village"!
 
Niseme nini kukubadilisha mtazamo wako. Naona hata lugha yetu pendwa sasa huijui tena ila kinyamwezi cha huko ubayani. Pole sana mkuu. You are just another mbulula
Achana na huyo pimbi..hawa ni wale aina ya watu wanaowakana wazazi wao na kuona aibu kuwatambulisha kisa umasikini wao.
 
Watanzania tujaribu kutembelea nchi zingene tuone maendeleo halisi, good and efficient planning both urban and rural, barabara bora zaidi sio Mfugale flyovers.

Karibuni Botswana na Namibia, juzi kati nilitembelea nchi ya Domican Republic ipo Carribean ni nchi poa sana.

Muone mipango miji, Dar es salaam ni kijiji chenye wakazi wengi with poor infrastructure.
Hapa umetaja kiduchu ya uhovyo wa mifumo ya nchi yetu.
 
Mkuu inawezekana ulikua na hoja lakini HEADING yako imeharibu kila kitu. Ungeweza kusifia hizo nchi nyingine ulizofika bila kudhihaki nchi yako. Ungeelezea mafanikio ya ujenzi wa miundombinu au mpangilio wa miji ya huko na pengine ukashauri nini kifanyike hapa nyumbani

Ukiona mtoto anakashifu hali ya nyumbani kwao kwavile tu ameenda nyumba ya jirani kakuta wana fenicha nzuri na nyumba imepakwa rangi ujue anatatizo la ufikiri au ana fikra za kitumwa
 
Usikute na hao Botswana na Namibia wakija huku wanaziteta nchi zao ziwe kama Tanzania!!😜
Hapa mchumba umedanganya. Ukiwa angani hapa Dar unakuta hata barabara hazipo unajiuliza wanafikaje nyumbani. Kwa wenzetu barabara ni straight. Mji uliopangwa vizuri ni Tanga, Dodoma na barabara zinajionyesha na zinasomeka. Ukiangalia Area C, D na uzunguni yaani Mlimani Dodoma kila mtaa unajionyesha hupotei. Dar ila ya ruksa ilifanya watu wajenge bila ramani za barabara na wengine waliziba barabara na mitaro ndo maana tuna mafuriko Dar. Why Dar?
 
Watanzania tujaribu kutembelea nchi zingene tuone maendeleo halisi, good and efficient planning both urban and rural, barabara bora zaidi sio Mfugale flyovers.

Karibuni Botswana na Namibia, juzi kati nilitembelea nchi ya Domican Republic ipo Carribean ni nchi poa sana.

Muone mipango miji, Dar es salaam ni kijiji chenye wakazi wengi with poor infrastructure.
Miji gani nyingine hapa Tanzania umefika na ukakuta hovyo?
 
Watanzania tujaribu kutembelea nchi zingene tuone maendeleo halisi, good and efficient planning both urban and rural, barabara bora zaidi sio Mfugale flyovers.

Karibuni Botswana na Namibia, juzi kati nilitembelea nchi ya Domican Republic ipo Carribean ni nchi poa sana.

Muone mipango miji, Dar es salaam ni kijiji chenye wakazi wengi with poor infrastructure.
Kuna siku utatuambia Mke wako ni mbaya kisa unamtamani Mke wa jirani yako.
Hili nalo ni tatizo
 
Ha ha ha,
Kwa hyo umefikiria mpk mwisho, ndo ukaamua kuja na hii,
Hivi umeenza linj kuwa mjinga hv.
Njoo na idea positive, kulalamika tuuu kila siku.
Watanzania tujaribu kutembelea nchi zingene tuone maendeleo halisi, good and efficient planning both urban and rural, barabara bora zaidi sio Mfugale flyovers.

Karibuni Botswana na Namibia, juzi kati nilitembelea nchi ya Domican Republic ipo Carribean ni nchi poa sana.

Muone mipango miji, Dar es salaam ni kijiji chenye wakazi wengi with poor infrastructure.
 
Hapa mchumba umedanganya. Ukiwa angani hapa Dar unakuta hata barabara hazipo unajiuliza wanafikaje nyumbani. Kwa wenzetu barabara ni straight. Mji uliopangwa vizuri ni Tanga, Dodoma na barabara zinajionyesha na zinasomeka. Ukiangalia Area C, D na uzunguni yaani Mlimani Dodoma kila mtaa unajionyesha hupotei. Dar ila ya ruksa ilifanya watu wajenge bila ramani za barabara na wengine waliziba barabara na mitaro ndo maana tuna mafuriko Dar. Why Dar?
Dar walifanya makosa sitegemei na kwengine watafanya hivyo
 
Back
Top Bottom