Recent content by Baba promi

  1. B

    JamiiForums Tanzania JamiiForums New version (5.0.25) App For iPhone and iPad users

    Vipi nokia x2 wakuu
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tujifunze softwares za music/audio production

    Hivi hii thread nzima siwezi kupata producer mkali wa kutengeneza ngoma za bongo flava?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Jamani wanawake hebu tuambieni ni kwanini?

    Wanawake hawanaga akili huoni hata fb wanavyopiga picha huku wamebinua makalio na midomo.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta designer wa nguo za kushoot video ya wimbo

    Shukrani mkuu.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Rihanna ushangiliaji wako wa Goli la Mario Götze nimeupenda......

    Hatareee
  6. B

    JamiiForums Tanzania Bariadi na Simiyu kwa ujumla tunahitaji kituo cha radio

    Kwani clouz haisikiki huko? Basi fungueni hata blog na sio lazima radio
  7. B

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta designer wa nguo za kushoot video ya wimbo

    mkuu ni kwa ajili tunataka kupunguza cost za usafiri thuy tunahitaji aliye karibu.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta designer wa nguo za kushoot video ya wimbo

    Karibuni wadau
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta designer wa nguo za kushoot video ya wimbo

    Rnb mkuu, ingekuwa hippop tungeshoot hata vifua wazi wala tusingehitaji designer.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta designer wa nguo za kushoot video ya wimbo

    Habari wakuu... Tunatafuta designer wa kubuni na kukodisha mavazi aliye morogoro kwa ajili ya kufanyia video ya wimbo, Note: Hii itamsaidia designer kujitangazisha kwenye soko la ubunifu nchini, pia ataweza kujipatia kipato kwa maelewano tutakayopatana.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kubadilika?

    Hii tabia ni pure kama ya mama yangu mzazi, so watu kama nyie ni wachache sana pia ni gifted people from heaven .
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kashindye, aliyekuwa mgombea ubunge Igunga adaiwa kuitosa CHADEMA

    Sitaki kuamini kama ni Kashindye yule tuliyekesha usiku kucha tukilinda kura kule ziba Igunga.
Back
Top Bottom