Recent content by BABA NEJAD

  1. B

    Vioja vya watoto wadogo (0-5years), tuambie vioja vya mwanao

    Malezi mengine mpaka najisikia vibaya nikisoma Watu wanavyoishi na watoto wao. Yani mtoto nimwambie fanya kitu flani akatae au nimkataze usifanye kitu flani halafu aendelee kufanya, then nimchekee niseme anamsimamo Hataki. Ninachapa kwa waya wa Redio au mkanda, na nikiongea kitu mara moja...
  2. B

    TANESCO kuna nini?

    Unachosema ni sahihi, nimelipia umeme tangu October mpaka leo kimya na umbali wa kutoka kwenye nguzo mpaka nyumbani ni chini ya Mita tano lakini sijaunganishiwa umeme mpaka leo. Niliweka ratiba ya kwenda kila wiki mara mbili kufuatilia lakini majibu yao ni subiri utapigiwa simu mpaka nikaamua...
  3. B

    The Vitruvian man: Ufahamu mchoro wenye utata kuhusu mwili wa mwanadamu uliochorwa na Da Vinci

    Mi nimeona pozi 16 kamili. 01: Mikono ameinua juu yote miwili kuna pozi tofauti 4 kwenye miguu. 02: Mikono ipo chini yote miwili kuna pozi 4 tena. 03: Mkono wa kulia ameinua, wa kushoto upo chini kuna pozi 4 tena. 04: Mkono wa kushoto ameinua wa kulia upo chini kuna pozi 4 pia. NB: Pozi nne...
  4. B

    Nini maana ya 'Kwa Mpalange'

    Ni eneo ambalo kunakua na matope.
  5. B

    Wachezaji gani watatu wa kigeni wanapaswa kuachwa na Simba ili wabaki 10?

    Charles Ilanfya ni raia wa wapi..
  6. B

    Mapenzi na mahusiano ya Vyuoni

    Msubiri Haji Manara akupe maelekezo..
  7. B

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ukiunganisha tatu tunaita Hat trick [emoji145], kiutaratibu Demu anapaswa kuacha kyupi kidume akipiga hat trick. Ninazo kyupi Kama dazeni mbili geto. Ni kujizoeza tu, ukishazoea inakua ni utaratibu wako. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. B

    Zitto Kabwe: Spika ameagiza Kamati za Bunge za PAC, LAAC, Bajeti na Uwekezaji kutofanya kazi na CAG, tunakwenda Mahakamani!

    Hivi Wagogo wanamatatizo gani. Juzi mmoja analia kwa Mwanamke aliechapwa mpaka na wahuni(Pilipili), mwingine anakazi ya kupiga picha kwenye mahotel na kujisifu(lemutuz) mwingine huku anaropoka kama kalishwa pilipili kichaa, duuh na makao makuu ya nchi yamepelekwa kwao sijui watakuaje sasa. Sent...
  9. B

    MWENYEKITI WA MATAWI WA YANGA ATIMULIWA USIKU TAIFA

    Hata kapicha imeshindikana...
  10. B

    Je, ni kweli kwamba Katibu Mkuu wa TUCTA , Yahaya Msigwa ni kiongozi wa CCM?

    Suluhisho ni kuwagomea hivi Vyama vinavyochukua pesa zenu kila siku bila ya kufanya shughuli yeyote. Mimi ni Mfanyakazi lakini sijajiunga na chama chochote cha Wafanyakazi, na nimeshawashawishi watu watatu kwenye eneo langu la Kazi wamejitoa kwenye hivyo vyama ambavyo havina manufaa yeyote zaidi...
  11. B

    Biashara ya kujiuza inavyowalipa wadada!

    Sio kujiuza, bali ni kutoa Huduma. Wadada poa huwa wanatoa Huduma ya ngono lakini sio kujiuza. Service Provider...
  12. B

    Nahitaji Carburetor Na fuel Pump ya Pikipiki.

    OK.. Mtandao upi Wako vizuri katika kuagiza vitu online...
  13. B

    Nahitaji Carburetor Na fuel Pump ya Pikipiki.

    Kiukweli hii pikipiki ninaipenda sana, hata uimara wake ni wa hali ya juu sana. Nimeinunua ikiwa used tangu 2014, lakin imekuja kusumbua mwaka huu...
  14. B

    Nahitaji Carburetor Na fuel Pump ya Pikipiki.

    Hii Ndo pikipiki yenyewe, carburetor yake Pamoja Na fuel pump.
  15. B

    Nahitaji Carburetor Na fuel Pump ya Pikipiki.

    Habari za mchana. Nina pikipiki yangu Aina ya Piaggio, model ni Gilera runner SP malossi, two stroke engine CC 180. Hii pikipiki inatumia fuel pump na oil pump, zinatumika sana kwa ajili ya mashindano. Miezi km Miwili iliyopita iliua pump ya mafuta Na oil Pamoja Na carburetor yake ikawa ina...
Back
Top Bottom