Recent content by baba N

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa mabasi ya Machame ni kweli kapigwa risasi?

    pole Slim.paper ulikua ushamaliza?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa mabasi ya Machame ni kweli kapigwa risasi?

    acha upuuzi.alafu mtoto wake yupo apa na kacomment imagine atakua kajiskiaje kwa huu upuuzi wako
  3. B

    JamiiForums Tanzania shamba linauzwa pembeni ya mto ruvu

    eka mbili kila eka milioni mbili.eneo zuri kwa kilimo cha umwagiliaji.au ufugaji wa samaki maana chanzo cha maji huakika.udongo mfinyanzi hauitaji kujengea bwawa kwa muhitaji ani pm
  4. B

    JamiiForums Tanzania House4Rent nyumba inapangishwa.ipo kinyerezi

    ina vyumba viwili.sebule.jiko.choo na bafu.ina fensi.kodi laki mbili kwa mwenzi.kodi ya mienzi 6 0746316028.picha network inasumbua kuapload ikikaa sawa ntaweka
  5. B

    JamiiForums Tanzania Imeokotwa, mwenye huu mzigo ANITAFUTE

    duh.baki nao.cha kuokota sio cha kuiba.mwenye Mali ndo mjinga
  6. B

    JamiiForums Tanzania Abiria chukua tahadhari: Basi hili la Sai-Baba ni hatari kwako

    Hata madereva wa hilo gari wanakuaga na mawenge mawenge linatokaga mchana, sijui wanakuaga wameshaonja vitu
  7. B

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    uyo uyo mkuu.na staili yake ile kuwashikisha vijana mifuko ya suruali
  8. B

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    T bag alikua mafia.mzee wakula 0713 kule gerezani
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume Kupenda BJ

    kunyonywa rungu
  10. B

    JamiiForums Tanzania Msanii Snura afungiwa kujihusisha na sanaa, TCRA waagizwa kuifuta video ya Chura mtandaoni

    Kama una redio na wewe fungulia yako kwa sauti hiyo hiyo.dawa ya moto ni moto.anakufanyia kusudi.huenda ukiwa haupo sauti anaweka ndogo kbsa yakusikiliza mwenyewe
  11. B

    JamiiForums Tanzania Safari ya Mtwara hadi Songea

    songea nyumba za kulala salama nyingi sana watu wakule wakarimu mno.alafu kwenye budget yako elfu hamsini kwa kulala kubwa sana ukiwa na 15 au 20 unalala kwenye bonge la lodge yani safi kbsa .maisha ya kule rahisi sana.mvua kusini hakuna
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nini kinaendelea kwa familia ya Diamond 'Dangote'?

    ya ngoswe muachie ngoswe
  13. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni mwezi mmoja sasa tangu nipige punyeto kwa mara ya mwisho

    sio wewe ulipiga nyeto na mkono wa kulia mpaka mkono mwingine umeanza kuona wivu kama vile unaucheat
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ferooz: Bora niugue UKIMWI kuliko kutumia dawa za kulevya

    ukimwi kwa saivi umekua kama mafua .ata mtu akiumwa tunapoelekea utaskia nnakaukimwi kamenibana
  15. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu anatoka kimapenzi na mama yangu, nimeona meseji za mapenzi kwenye simu ya mume wangu

    duh uyo jamaa anatafuna kuku na mayai yake.pole sana.
Back
Top Bottom