Wadau nautafuta wimbo unaoitwa The world's going bad. Umepigwa kwa mtindo wa reggae. Nilikuwa nikiusika, na ulivuma sana kunako miaka ya 1990. Zamani nilikuwa nikifiria ni wimbo mwanamuziki Sophia George, lakini nimeutafuta katika playlist ya Sophia George, haupo. Au labda nakosea jina...