usawa wa kulia
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 454
- 153
waheshimiwa habari zenu?
eti mfano tangazo la kazi wanataka uambatanishe na referee letter,afu huyo referee wako mwenyewe labda yuko dar na wewe uko mwanza,ivi inawezekana hiyo barua ukaindika mwenyewe tu kwa niaba ya referee wako na ukapachika details zake then ukaituma?
kuuliza sio ujinga jamani so naomba nisionekane kilaza.
unaweza kuandika na ku saini, miandiko isifanane tu, mm nshafanyaga hvyo na kazi nkapata ni pm kwa maelezo zaidi