Baba Mtu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2008
- 870
- 170
Wadau nautafuta wimbo unaoitwa The world's going bad. Umepigwa kwa mtindo wa reggae. Nilikuwa nikiusika, na ulivuma sana kunako miaka ya 1990. Zamani nilikuwa nikifiria ni wimbo mwanamuziki Sophia George, lakini nimeutafuta katika playlist ya Sophia George, haupo. Au labda nakosea jina. Nakumbuka ulitoka kipindi kile ule wimbo unaoitwa All That She Want it's another baby.
Mwenye nao au mwenye link naomba anisaidie.
Mwenye nao au mwenye link naomba anisaidie.