Recent content by baba luno

  1. baba luno

    JamiiForums Tanzania Msaada wa gharama za ushuru na mapato ya TRA.

    Habari wanajamvi, Naomba kufahamishwa ni gharama kiasi gani za ushuru na mapato ya TRA nitalazimika kulipa endapo nitanunua gari either mpya or used kutoka upande wa pili wa majirani zetu hapo Zambia? Na je inaweza kua nafuu kidogo ukilinganisha na ukiagiza kutoka japani kupitia bandari yetu ya...
  2. baba luno

    JamiiForums Tanzania Serikali kutumia kigezo cha kujitolea kuajiri Walimu siyo haki

    Walimu wa nchi hii kama wamelogwa hivi,pamoja na misoto wanayopitia bado hawaelewagi somo.
  3. baba luno

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kundi la WhatsApp lachukua sura mpya baada ya Tundu Lissu kutangazwa Mgombea Urais CHADEMA

    Kazi kweli kweli yaani hamjaona na hamtaki kujadili hoja za msingi kama wastaafu kutopata stahiki zao kwa wakati,utumbuaji wenye mwelekeo wa uonevu ,kesi nyingi za kusingizia uhujumu uchumi,utakatishaji pesa nk mnajadili vioja vya idadi ya members..??!!
  4. baba luno

    JamiiForums Tanzania CCM "wakiharibu" wimbo wa Taifa: Jicho la Mutungi lina makengeza?

    Kwa hii double standard kiongozi wa kariba ya Lissu ndio mwarobaini hatutaki kumwachia MUNGU,kulialia au kulalamika tena ni jino kwa jino mpaka tutaelewana tu .
  5. baba luno

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Nikiibiwa kura nitawaingiza Wananchi barabarani

    Kauli hatari kwa usalama wa nchi au kwa viongozi walio madarakani? Busara ya fisiemu inakuaga juu sana wkt kama huu hasa wakiona upepo unaelekea kuwakataa,sijui mtapiga tena push up safari hii.Nakumbusha tu miongoni mwa ahadi hewa mlizotupa 2015 ni laptop kwa kila mwalimu nchi nzima,milioni...
  6. baba luno

    JamiiForums Tanzania Wateja wapo wengi, Ongeza thamani ya kitu unachotaka kukiuza kabla hujakitangaza kukiuza

    Hakika JF ni zaidi ya chuo, shukrani mkuu CONTROLA na wote mlio toa madini ktk huu Uzi umetufungua wengi tumepata maarifa MUNGU awabariki sana.
  7. baba luno

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars mnaboa

    Taifa stars ni kichefuchefu inakatisha tamaa sana .
  8. baba luno

    JamiiForums Tanzania Tanzania One s/msingi, O-level, A-level, UDSM apata shahada ya Uzamivu akiwa na miaka 30

    Wenyewe tulikua tunasemaga kupiga zeze acha kabisa fungus za kwenye pu...
  9. baba luno

    JamiiForums Tanzania Selection za chuo kwa first round zitachukua muda gani kutoka?

    Hivi mwisho wa Ku apply ni lini tena?
  10. baba luno

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu malipo baada kumaliza mkataba wa ajira au kazi

    Nje na mifuko ya hifadhi ya jamii mwajiri hatoi chochote kama mkono wa kwa heri/kifuta jasho?
  11. baba luno

    JamiiForums Tanzania Hii hali ni ya mkoa upi hapa Tanzania

    Dodoma hiyo watu wenye bahati zao.
  12. baba luno

    JamiiForums Tanzania Maoni ya J. Mtatiro: Akina Butiku si wakweli kuhusu Lowassa

    ifike wakati tukubali tu mabadiliko ni lazima hayaepukiki big up mtatiro kwa uchambuzi mzuri,ushauri wa bure kwa mzee wetu butiku tunampenda sana atulie kama alivyo sema mwenyewe jana kua baada ya jana hata sema neno tena .
Back
Top Bottom