Nyaru
JF-Expert Member
- Oct 14, 2016
- 289
- 232
Kumekuwa na promo nyingi sana juu ya hii timu yetu ya taifa iizingatiwa kuwa Watanzania wengi ni wapenzi wa mpira.
Nakumbuka Rais mstaafu JK aliipigania sana, ikiwa i pamoja na kuleta kocha, kambi nch mbali mbali.
Ni miaka mingi sasa imepita na hakuna kipya zaidi ya kubadili makocha na vikosi, na ndani ya uwanja ni kipigo na droo..
USHAURI
-Tuachane na mpira kwani kuna michezo mingi ya kuitangaza nchi yetu.. Mfano shinyanga kuna mafubdi wa kuendesha baskeli.
-Tujitoe kwenye mashindano yote ya kimataifa kwa miaka mi3 tutengeneze timu.
-Viongozi wa siasa waache kuhusika kwenye soka [hasa pale yanapitokea matokeo mazur].
-Simba na Yanga ni adui wa soka letu kimataifa.
CCM kikodishe kama c kuviyza viwanja kwa virabu ili kuweza kuinua vpaji na soka.
Naomba kuwasilisha.