Tanzania One s/msingi, O-level, A-level, UDSM apata shahada ya Uzamivu akiwa na miaka 30

Wewe upo kundi gani mkuu?

Hakuna kipya zaidi ya kuwa High paid slave. wenye elimu ya kawaida na ya kuunga unga ndiyo matajiri wa nchi wasomi na wataalam wao wameandamwa na madeni mpaka kwenye koo. kwa kifupi ni watumwa tu ka watumwa wengine tofauti ni ujira yeye atapokea kikubwa kuliko yule asiyekuwa na elimu.Shikamoo Pesa
 
Nilimuona kwenye kipindi cha mkasi huyu mwamba, hongera zake kwa kuhitimu. Ngoja niende UDSM mwaka huu kusoma uchumi ili akakifundishe "hiki kichwa kibovu" juu ya shingo yangu.

HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAAHAHAHAHAHAHHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAH, shikamoo mkuu
 
Back
Top Bottom