Acha maneno yako wewe, huku kwetu kanda ya ziwa tuna vyakula vyetu vya asili yetu ambavyo wanawake wetu ni mahili sana kuvipika ukilinganisha na hao wa pwani. Mwandishi amebainisha aina ya vyakula ambavyo wapwani ni mahili hapo nimekubali kabisa lakini kwa vile vya asili ya ukanda kila kanda kwa...
Hongera sana kwa andiko bora sana. Hakika ushauri huu wapaswa kufanyiwa kazi na mamlaka husika. Elimu yetu yapaswa kuboreshwa kutoka kwenye mfumo wa kukariri hadi kuongeza maarifa. Si kwa lugha tu bali pia masomo mengine. Kumekuwa hakuna tija yoyote baada ya kusoma shule na maisha halisi ya...
Kiswahili ni lugha yetu mama hilo halipingwi mahali popote pale ila huwezi kuikuza lugha ya Kiswahili kwa kuiponda lugha ya kigeni(Kiingereza). Hii sio mbinu nzuri. Onesha umuhimu wa kuikuza lugha yetu ya Kiswahili pia zungumzia umuhimu wa kujua lugha za kigeni ni njia nzuri na bora katika...
Mataa hapa yanasaidia sana kuweka ustaarabu barabarani. Solution sio kuondoa mataa ila ni kuhakikisha magari mabovu hayaingii barabarani na hilo ni jukumu la polisi kusimamia sheria hizo shida ni hao polisi wala rushwa tu hawawezi kuismimamia sheria zetu na hata hizo ajali polisi wanapaswa...
Kama wanaume wa sasa tuko hivi basi wanawake wa sasa wanakila sababu ya kuwa single mothers. Kwa kifupi huu sio uanaume unaoweza kukufanya ukawa na familia na kuimudu(kuicontrol).
Ndugu wewe ni mwandishi wa habari mbobezi tena za kiuchunguzi kabisa na pia ni mwanasheria hizi facts ulizoziandika hapa naomba uteletee uthibitisho wa kila hoja yako uilinde heshima yako kidogo iliyobaki. Nawasilisha kwako.
Hiyo ni kanuni bora kwa taifa lolote linalojitawala kwa kufuata sheria yaani serikali inayofuata misingi ya utawala bora. Lakini ni kitu kisichowezekana kwa serikali ya CCM tangu ilipoanzishwa na wala haitakuja kutokea chini ya serikali ya CCM labda tufanikiwe kubadili chama tawala. Imekuwa...
Hiyo pump inachukua muda gani kutengenezwa? Huu ni uzembe wa hali ya juu kama ni kweli hiyo ndiyo sababu basi kuna watu hawastahili kuendelea kuhudumu kwenye nafasi zao ndani ya hiyo mamlaka
Shida ni kuwa mamlaka inapewa target ya kukusanya mapato tu na sio kujikita kutoa huduma kwa wananchi. Laiti kama wangekuwa wanaangaliwa jinsi wanavyotoa huduma basi mamlaka nyingi zingekuwa tayari zimevunjwa maana wanachofanya ni upuuzi tupu
Wanabodi,
Hii nchi ina kero za ajabu ajabu sana ambazo kwa watu waliostaarabika ni mambo ya aibu lakini kwetu sisi linaonekana kama ni jambo la kawaida sana.
Serikali imetumia kodi za wananchi wake kuweka huduma kwa watu ili kuhakikisha maisha yanakuwa bora na wananchi hao wanapolea kwa mikono...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.