Recent content by Baba Jaden

  1. Baba Jaden

    JamiiForums Tanzania KERO Maombi ya mikopo kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza kutoka HESLB michakato ni mingi

    Kaka Samahan kwenye kuomba mkopo namba ya NIDA unaandika kwa mfumo wa Dash(-) au unaunganisha moja kwa moja
  2. Baba Jaden

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Magofu ya Rapta

    Here we go....
  3. Baba Jaden

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilikutana na mzungu asiye na hela kwenye "Dating app"

    Vipi wazungu wa kike wapo kweli nisijenikajiChanganya wakaNifiriauniii [emoji3064][emoji3064][emoji3064]
  4. Baba Jaden

    JamiiForums Tanzania Dondosha series nzuri zinazohusu uchawi

    Sure maana ina season Kama 7
  5. Baba Jaden

    JamiiForums Tanzania Dondosha series nzuri zinazohusu uchawi

    Vampire diaries ndio nipo season two nikiimaliza naamia the originals [emoji91][emoji91][emoji91]
  6. Baba Jaden

    JamiiForums Tanzania CLOUDS FM | Before & After...!

    Naona una personal conflicts na mwijaku sijaona hoja yako
  7. Baba Jaden

    JamiiForums Tanzania What's the story: Ulipataje kazi unayofanya au uliyowahi kufanya?

    Nimeusoma hu uzi kuanzia May 30 2018 mpaka leo June 28 2023 ( nimetumia Kama masaa mawili ivi ) Mungu atuongoze tu kwa kweli Kwa upande wangu Jobles Nina degree ya hesabu Nime graduate 2021 Bado najaribu apa na kule inshAllah Naamini nitapata
  8. Baba Jaden

    JamiiForums Tanzania EACOP Wanatoa mafunzo yenye nia ya kupata wafanyakazi watakaoajiriwa wakati wa uendeshaji wa miundombinu ya bomba la mafuta

    Niaje mkuu Bado unaendelea na course ya EACOP?? Kama ndio naomba nikuulize kitu
  9. Baba Jaden

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Sex: Male Age: 25 Education: Bachelor of science in mathematics Location: IRINGA
  10. Baba Jaden

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upweke Utaniua

    Ndio uombe connection
  11. Baba Jaden

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kazi ya Ukondakta: Usipoidhibiti nafsi, zipu haitofunga

    Nchi gani !?? Labda za kiarabu sio Europe na marekani
  12. Baba Jaden

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Muulize wana shilingi ngapi saizi
Back
Top Bottom