What's the story: Ulipataje kazi unayofanya au uliyowahi kufanya?

Dah nmesoma hii thread nmejikuta natabasamu.... At my age ( less than 25 years ) nmeshafanya kazi sehemu tatu... Mmh mungu huyu jamaniii
Nkipata nafasi ntakuja kuelezea jinsi nlivyopata kazi zote moja baada ya nyingine sehemu zote na sababu ya kuacha.... Its interesting maana sikua na refa uko wala nna e mjua
Itakuwa una tako
 
Nilipata nafasi ya kujitolea kwa connection ya classmates, baadaye ikatokea nafasi kwingine nikaomba nikapata. Vijana mjitolee hata kama hamlipwi, mazingira ya ofisini hujenga confidence itakayokupa kazi. Kila la kheri .
 
I like also to share my story. ..

Wakati namaliza dip... Nlwaza nitapataje shavu ila kulkuwa na rafk yangu mmoja akanitonya anza kwa wahindi nikaona sio kesi... Nikazama kwa kanjibahi papu na cv zangu Mara nika start carrier salary Kama buku 6 daily basis... Pigika Sana pande Za mwenge. . Story Hapa na pale nikaaply Kiwanda kingine watu nyomi Mara mchujo tukabaki watatu tukapelekwa kwa mkurugenzi na kupewa pongezi na kuambiwa tutapigiwa cm. Mara nikapokea cm ya jamaa tulikuwa Nae kwenye kinyang'anyiro ananiuliza umepigiwa cm Aaaaah kwa masikitiko nikajibu sijapokea cm labda cjafanikiwa Jamaa hakuamini.

..Duuuuh ikawajoto Huku na Huku nikakata tamaa nanimesha choka na dau LA buku sita nikaandika application Za kutosha na kusambaza kila panapokuwa na ofisi za kiufundi..Nikakata ticket nisepe mkoani nikajipange home Mara kibaha,chalinze ,Moro cm ikaita nikapokea Kumbe neema njoo maeneo ya Mikocheni kwaajili ya interview chapu nikashuka na Kupanda Basi kurudi DSM kiulaini nika sign contract nikapoza machungu japo mshahara ulikuwa sio mkubwa Sana ila ultosha kwa kipindi hicho 2010 japo nilisha piga chini....
Mkuu we ni fundi wa kada Gani?
 
Duh! acha na mimi nianze kuzisaka hzo interns maana nina mwaka sasa nasugua bench. Mungu niongoze.
 
Nimeusoma hu uzi kuanzia May 30 2018 mpaka leo June 28 2023 ( nimetumia Kama masaa mawili ivi )

Mungu atuongoze tu kwa kweli

Kwa upande wangu

Jobles
Nina degree ya hesabu
Nime graduate 2021

Bado najaribu apa na kule

inshAllah Naamini nitapata
 
Nimeusoma hu uzi kuanzia May 30 2018 mpaka leo June 28 2023 ( nimetumia Kama masaa mawili ivi )

Mungu atuongoze tu kwa kweli

Kwa upande wangu

Jobles
Nina degree ya hesabu
Nime graduate 2021

Bado najaribu apa na kule

inshAllah Naamini nitapata
Shehe niamini utapata tu ni swala la muda ni Bsc.Math au Education?
 
Back
Top Bottom