Mkiacha ushabiki mtaelewa kanaanisha mini lakini pia tusubiri tuone kwenye huo mjadala wa hao ma profesa nani atakuja na hoja ya matumaini ila wakishindwa sijui tutaambiwa wamehongwa?!
Ni bora asimpe maana majibu yakija tofauti na alivyo tutumainisha atasema wanasheria wamehongwa sasa ni bora waende hao ambao hawaongwagi ili majibu yakija tofauti waubebe msalaba wao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.