UVCCM wampa za uso Lowassa kuhusu sakata la makinikia

LOWASA ANAFIKIRIA KUUNDA TUME NDO KUTEKELEZA MAPENDEKEZO YA TUME. MBONA MKAPA NA KIKWETE WALIWAHI KUUNDA TUME NA HAKUNA WALICHOTEKELEZA?

MAGUFULI YUKO JUU SANA NA NI KIFAA KINGINE KABISA HEBU ATUPISHE APITE KULE ASITAFUTE KIKI ZA BUREE. YEYE NI SEHEMU YA WALIOTUFIKISHA HAPA KWA MASLAHI BINAFSI NA MARAFIKI ZAKE AKINA KARAMAGI NA ROSTAM AZIZI.

APISHE KABISA NI MAZOBA TU NDO WATAKAO MSHANGILIA LOWASA.
kwahiyo wewe unamshangilia anaeachia dhahabu yenyewe itoroshwe kisha anahangaika kudhibiti mchanga wake? Ama kweli mazoba hayajitambui!
 
Hivi uvccm bado wapo nilidhani wamefutwa tanzania.
Wapo Mkuu!Waviziaji wa matukio.Kwao waziri ambaye ni mjumbe kwenye baraza la mawaziri ni mtuhumiwa lkn akiyeongoza kikao si mtuhumiwa!Hawa watu yataka uwe na akili ya ziada kuwaelewa rejea utafiti wa Twaweza!
 
Hiki chama cha CCM ndio maana TWAWEZA wanasema kinapendwa na kuaminiwa na wajinga! Sasa huu ujinga wa UVCCM kudai waziri pekee katika serikali iliyopita ya CCM aliyekuwa mchapakazi ni Magufuli unakisaidiaje chama?
Hizo ndiyo akili za uvccm zilipokomea Mkuu.
 
Sina chama ila video ya Lowassa akiwa Geita wakati wa campaign akiahidi kupitia upya mikataba ya madini na gesi inufaishe wadhawa ninayo. Sipendi unafiki daima japo Lowassa simkubali hata chembe ila hili video ninayo.
 
Mwenye akiri unajua kabisa hiki kijana kinatumiwa vibaya Sana namuonea huruma maana huko nyuma hakuaribika kiasi hiki anaitaji tiba huyu mtoto
 
Kama ni kweli Lowassa hakusema hicho alichodai amekisema itakuwa bonge la msanii.
ULIPO TUPO tafadhali tuleteeni ushahidi kama tajiri wenu aliwahi kusema hayo.
 
Ukiuona alafu utaomba radhi Shaka. mengine hayafai kufanya maigizo watanzani hatutaki siasa za maji taka tunataka mtu awe anaeleza fact. Na wakati mwingine kukaa kimya ni busara sana.. Tuache kabisa mambo ya ajabu ajabu na kama unalakusema liwe la maana.
 
UVCCM ni mapumbavue. Nimajitu yasiyokuwa na uelewa wala uchungu wa nchi hata chembe. Kazi kusema uwongo na kusubiri matukio. Mapumbavue saana.

Yangelikuwa na vichwa, bila shaka yalitakiwa yaone hata kesho ya watoto wake.

Badala ya kuanza kusaka nani maarusu nani kafanya nini, mapubmvu haya yamekalia kutetea upumbvue hata usiokuwa na tija. Kusema nani alipanga kuunda tume nani hakupanga, eti ni mjadala wa UVCCM, Pumbvue kabisa.

Kama yangelikuwa ni mamtu yenye ufahamu, nilitegemea wakati huu ni kipindi ch akuomba msamaha kwa Watanzania namna chama chao kimeharibu taifa.

Nilitegemea sasa ni wakati wa kupeana maonyo ndani kwa ndani ili kukomesha upumbavue wa chama chake ambao unaua taifa.

Nilitegemea ni wakati wa kusimamia haki za taifa katika vyombo mbalimbali.

Yako masuala ya kibiti ambayo Ccm imeyaasisi. Vijana wanatakiwa waangazie macho kule na kusimama kidedea kukomesha hulka za vijana kama wale wa kibiti ambao ni hatari kwa nchi.

Yko masuala ya uongozi mbaya wa Bunge uliolazimisha miswada ya wizi kupitishwa kwa hila.
Aidha uongi mbaya usiotka hoja zijadiliwe kitaalamu badala yake bunge linaongozwa kama genge na wacheza ngoma.

Yako masuala ya kikatiba ambayo ni muhimu kwa mustakabali wa taifa la leo na kesho. Mbunge kujua kusoma na kuandika ama walofeli kabis adarasani kama kina slaliama Kikeet kuwa wabunge huku hata akili za kawaida tu za kwao hazipo. Huyu mama kwamfano na jah pepoel watasoma sheria waielewe ama hata wanaupeo wowote wa kuziboreha ?

Yako masuala ya matumzi mabaya ya viongozi wanaohodhi mihimilili muhimu na hivyo kusababisha ubutu wa ufanisi katika maeneo anuai ambapo athari zake huja kwa wananchi. Kwamba taifa linaendeshwa kwa ufahamu wa mtu mmoja na msiwho wake kufanay nchi iwe kwenye mikiki mikiki siku zote bl a lolote la maana, ikiwome ufanisi na maendeleo yaliyo chini ya kiwango.

Yako masual aya vyama vya siasa klinda na kufuga waharifu (CCM) ama serikali kushindwa kuwachulklia hatua waharifu kwa sababu tu wako CCM na kubaki kupiga kelele majukwaani!.

CCM haina la kujivunia, hain ajipya ni ile ile, na haiwezi kumsaidia Magufuli kwa sababu wanachokifanya ni kusubiri afanye halafu washabikie tena kwa maneno si kwa viendo.

UVCCM ni mapumbavue tu, tehna nasema Pumbavue kaibsa.
povu la nini
 
Shaka anataka Kiki, kwani mikataba mibovu cwalipitisha wabunge wa mafisiem, huyu dogo ana kiburi na kimbelembele
 
Ushahidi wa video mbona upo?ina maana huyu shaka hajauona ama kaamua kuropoka tuu?afu ana mambo ya kimama sana huyu dogo
Video hata mie sijaiona. Nakumbuka tu kuna wakati Lowassa alipata shida ikabidi achimbe dawa haraka. Kama zipo video tupeperushie Mkuu uongo ujitenge.
UVCCM WAMPA ZA USO LOWASSA.

Wamuambia ni Mkongwe wa kuzua mambo.

Mwandishi wetu, Dar Es Saalam.

Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi(UVCCM) umemtaka Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Rchmond Edward Lowassa kuacha uongo kwani hana historia ya kupigania maslahi ya umma.

Aidha, imesema madai ya lowassa kwamba aliwahidi wananchi angeunda Tume ya kupitia mikataba ya madini kama angeshinda urais ni uongo na kutaka kujitafutia umaarufu wa kisiasa.

Pia umoja huo umemtaka Lowassa kuonyesha ushahidi video ya matamshi yake wakati akiwa katika mkutano wa hadhara akihutubia mkoani Geita ikionyeaha kama kweli alitoa matamshi hayo.

Hayo yalielezwa jana na Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Shaka Hamdu Shaka alipozumgumza waandishi wa habari jana ofisini kwake Upanga jijini Dar Es Salam.
alisema Lowassa hama nguvu za uzalendo wa kupigania au kuzungumzia mapambano dhidi ya ubadhirifu wa mali za umma kwasababu hata kujiuzulu kwake kulitokana na shinikizo la bunge huku akihusishwa na sakata la ufisadi.

Shaka alibainisha kuwa hakuna ushahidi wala kumbukumbu inayoonyesha kuwa Lowasa siku moja aliwahi kutetea maslahi ya umma wakati akiwa serikalini kama Waziri au alipoteuliwa kuwa Waziri Mkuu na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete.

"UVCCM tumemestushwa na matamshi ya Lowasa yanayodai wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu akiwa Mkoani Geita kuwa aliwahi kutamka kama angeshinda urais angeunda Tume ya kupitia mikataba ya madini , hakuna ushahidi huo na hawezi kuthibitisha ni uongo mtupu "Alisema Shaka.

Shaka alisema kama kweli angekuwa na ujasiri huo wakati alipokuwa waziri mkuu angeweza kutamka maneno hayo au kumshauri Rais iundwe Tume lakini alishindwa kwa sababu hana ujasiri na uzalendo kama anavyotaka kuwaaminisha wananchi baada ya kuona Rais John Magufuli akiungwa mkono kitaifa na kimataifa.

Kaimu huyo Katibu mkuu alikumbushia kuwa alichosikika akisema Lowasa ni kwamba akiwa Rais atawakaribisha wawekezaji zaidi pamoja na marafiki zake wenye nguvu za fedha na mitaji mikubwa ili kuiendeleza migodi na uchimbaji wa madini ambayo itamtajirisha kila wananchi bila kuelezea mbinu za utekelezaji huo.

"Waziri pekee jasiri, mzalendo na aliyekuwa mchapakazi kwa bidii katika serikali ni Dk Magufuli kwani hata Lowassa alipomnadi Dk Magufuli wakati akiwania ubunge mwaka 2005 alimtaja mbele ya wananchi kwamba ni jembe na turufu muhimu "Alisema Shaka.

Aidha alieleza sifa peke ya Lowassa akiwa serikali ni tabia yake ya kumshauri jambo Rais na kama litafanyika, hugeuka na kuwaambia watu kwamba yeye ndiye akiyemshauri Rais na kama si yeye kisingefanyika.

Shaka alisema upo ushahidi kwamba aliwahi kumshauri suala fulani Rais mstafu Mzee Ali Hassan Mwinyi kisha akawaambia wapambe wake kwamba yeye ndiye aliyeshauri kitendo kilichomfanya Mwalium Julius K. Nyerere amwite kilichjambo lililomfanya mwalimu Julius Nyerere amwite Lowassa nyumbani kwake msasani na kumkanya.

"Lowasa aliitwa mbele ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa UVCCM Sukwa Said Sukwa nyumbani kwa mwalimu Msasani akasemwa vikali sana na mwalimu kwa kitendo hicho pia akaonywa aache kutumia magazeti kusaka uongozi na umaarufu"Alieleza Shaka

Pia Shaka alimtaka Lowassa kuacha tabia ya kutaka kuvika joho lisilo na hadhi yake na akumbuke tuhuma ambazo amewahi kurushiwa na viongozi wa chadema wakipita huku wakimnadi nchi nzima haziwezi kufutika kwa mtindo anaotaka wa kujifagilia kwa uzushi.

Hata hivyo kaimu katibu mkuu huyo alisema si kweli kama ujasiri, uzalendo na utashi wa kutaka kufanya mabadiliko ya kiuchumi, kupambana na ufisadi na kupitia mikataba michafu haiwezekani kufanyika bila katiba mpya kama anavyodai Lowasa.

"Ujasiri, uzalendo na uthubutu wa kutenda mambo yoyote magumu hakuhitaji mabadiliko ya katiba , aidha kwa kuwepo wa katiba mbaya au nzuri kwasababu vitu hivyo havishabihiani , katiba iliopo ni nzuri na Dk Magufuli ataleta maajabu ya kihistoria chini ya katiba ya sasa "Alisisitiza Shaka

Alimtaka Lowasa kufuta ndoto na matumaini kwamba itatokea siku moja akawa Rais wa nchi hii na kuacha kueneza uzushi kuwa alikatwa jina lake kwa kumhofia angepitia mikataba ya madini.

"Jina la Lowassa liliondolewa kwasababu kadhaa ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka, viongozi wa CHADEMA kumnanga nchi nzima pamoja na ukiukaji wake wa taratibu, miiko na maadili huku akitumia nguvu za fedha kutaka ateuliwe jambo ambalo CCM imelikataa "Alisema Shaka .

Baadhi ya vyombo vya habari jana vilimnukuu Lowassa akimpongeza Rais Dk Magufuli kwa kuunda Tume ya kupitia mikataba ya madini huku akijigamba naye aliwaahidi wananchi wakati kampeni akiwa mkoani Geita kwamba akishinda urais angeunda Tume jambo ambalo pia lilifanya jina lake kukatwa ndani ya CCM.

UVCCM ni mapumbavue. Nimajitu yasiyokuwa na uelewa wala uchungu wa nchi hata chembe. Kazi kusema uwongo na kusubiri matukio. Mapumbavue saana.

Yangelikuwa na vichwa, bila shaka yalitakiwa yaone hata kesho ya watoto wake.

Badala ya kuanza kusaka nani maarusu nani kafanya nini, mapubmvu haya yamekalia kutetea upumbvue hata usiokuwa na tija. Kusema nani alipanga kuunda tume nani hakupanga, eti ni mjadala wa UVCCM, Pumbvue kabisa.

Kama yangelikuwa ni mamtu yenye ufahamu, nilitegemea wakati huu ni kipindi ch akuomba msamaha kwa Watanzania namna chama chao kimeharibu taifa.

Nilitegemea sasa ni wakati wa kupeana maonyo ndani kwa ndani ili kukomesha upumbavue wa chama chake ambao unaua taifa.

Nilitegemea ni wakati wa kusimamia haki za taifa katika vyombo mbalimbali.

Yako masuala ya kibiti ambayo Ccm imeyaasisi. Vijana wanatakiwa waangazie macho kule na kusimama kidedea kukomesha hulka za vijana kama wale wa kibiti ambao ni hatari kwa nchi.

Yko masuala ya uongozi mbaya wa Bunge uliolazimisha miswada ya wizi kupitishwa kwa hila.
Aidha uongi mbaya usiotka hoja zijadiliwe kitaalamu badala yake bunge linaongozwa kama genge na wacheza ngoma.

Yako masuala ya kikatiba ambayo ni muhimu kwa mustakabali wa taifa la leo na kesho. Mbunge kujua kusoma na kuandika ama walofeli kabis adarasani kama kina slaliama Kikeet kuwa wabunge huku hata akili za kawaida tu za kwao hazipo. Huyu mama kwamfano na jah pepoel watasoma sheria waielewe ama hata wanaupeo wowote wa kuziboreha ?

Yako masuala ya matumzi mabaya ya viongozi wanaohodhi mihimilili muhimu na hivyo kusababisha ubutu wa ufanisi katika maeneo anuai ambapo athari zake huja kwa wananchi. Kwamba taifa linaendeshwa kwa ufahamu wa mtu mmoja na msiwho wake kufanay nchi iwe kwenye mikiki mikiki siku zote bl a lolote la maana, ikiwome ufanisi na maendeleo yaliyo chini ya kiwango.

Yako masual aya vyama vya siasa klinda na kufuga waharifu (CCM) ama serikali kushindwa kuwachulklia hatua waharifu kwa sababu tu wako CCM na kubaki kupiga kelele majukwaani!.

CCM haina la kujivunia, hain ajipya ni ile ile, na haiwezi kumsaidia Magufuli kwa sababu wanachokifanya ni kusubiri afanye halafu washabikie tena kwa maneno si kwa viendo.

UVCCM ni mapumbavue tu, tehna nasema Pumbavue kaibsa.
 
Chama changu ccm ndicho chenye uchungu wa kupigana maslahi ya nchi hii. Lakini sisi ndo tuliwaingiza tanzania ktk wizi huu wa mchana mimi nashindwa kukanusha kutokuwa wahusika kwani sisi ndo tunaongoza nchi tangu tumepata uhuru
 
Back
Top Bottom