Mrema: Nawashangaa polisi kutowaweka ndani wapinzani!

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
718
1,000
Akihojiwa na magic fm mzee mrema amewatupia lawama wapinzani kwa kumtukana rais na kumpinga ktk kila jambo. Aidha amekumbusha kua kumtukana mkuu wa nchi ni kosa la jinai na hivyo akawashangaa polisi kutowakamata hao watukanaji!
 

elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
8,970
2,000
Huyu Mrema si ndiye yule wa kitu kidogo mil 900, mafuta ya samaki na mashimo ya Bulyankuru, kesha sahau huyo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom