Kipigo walichokipata CHADEMA kwenye Sakata la Mchanga, Kitaipeleka Kaburini Moja kwa moja

Huku Mtaani CHADEMA wamekosa Umaarufu mtaani wameshapata Usemi kuwa CHADEMA Wanashirikiana na Mafisadi.

Hivi karibuni ripoti za Mchanga zimekifuta chama cha CHADEMA and bouncing back is Unlikely na Uchaguzi wa 2020 mtapoteza Wabunge wengi na 2025 chama kitakua kimesahaulika miongoni mwa watanzania.

Nawashukuru wananchi wanamuunga Mkono Rais Magufuli kwa juhudi zake za Kulinda Rasilimali za Nchi.
View attachment 525537
Labda mtaa wa nyumbani kwenu. Huku kwetu wanasema "si walikuwa wakiwafukuza na kuwaadhibu wapinzani waliokuwa wakopogania hayo madini bungeni? Leo imekuwaje? CCM hasa wabunge wake ni wa hovyo kabisa"hayo ndiyo yanayosemwa huku mitaani. Na siyo wewe unayeleta porojo. Tuungane kwa pamoja kupigania raslimali zetu. Acha huo upuuzi.
 
Upo sahihi kabisa, hata mimi nawashangaa Chadema kwa kusaini

Mikataba mibovu kwa ya kuibia nchi hawafai hata kidogo.
Kukataa ushauri wa ccm wa kuleta mikataba na sheria za madini kufanyiwa review bungeni.
Mawaziri wa chadema kwenda kusaini mikataba nje ya nchi bila hata kusoma inasemaje. kweli Chadema wametusababishia hali ngumu kwa kipindi chote walichoongoza nchi tangu uhuru hadi leo.
Kweli CHADEMA kibaya sana.
 
Sasa kuna jipya lipi mbona hayo ya mikataba ya madini walivokua wakiyapigia kelele mliwapa mgongo leo hii sizonje kuyazungumzia mnajifanya mapya ccm ni chama chakavu sana mnatia kinyaa na aibu
Iyo mikataba mibovu vp waliingia chadema au ccm? Chungeni kauli kipande cha taulo ulichofutia ta.ko asubuhi jioni waweza futia mdomo mikataba mibovu muingie wenyewe mnataka tusikitike na kulia wote nyie ndio mmeharibu nchi hii Hanna jipya.
 
ccm wana wakati mgumu sana kwa sasa.huku mtaani baada ya rais kuzuia marais wastaafu kujadiliwa wananchi wamevunjika moyo sana.
 
downloadfile-138.jpeg
Huku Mtaani CHADEMA wamekosa Umaarufu mtaani wameshapata Usemi kuwa CHADEMA Wanashirikiana na Mafisadi.

Hivi karibuni ripoti za Mchanga zimekifuta chama cha CHADEMA and bouncing back is Unlikely na Uchaguzi wa 2020 mtapoteza Wabunge wengi na 2025 chama kitakua kimesahaulika miongoni mwa watanzania.

Nawashukuru wananchi wanamuunga Mkono Rais Magufuli kwa juhudi zake za Kulinda Rasilimali za Nchi.
View attachment 525537
 
CCM ni wezi wakubwa ....msijipe moyo.hii ni mbinu mpya ya awamu hii kupiga dili.
 
CCM wapo busy kuwageuzia kibao CCM ili watu wakomae na malumbano wamsahau Daud Bashite akae na vyeti feki mpaka 2020
 
Jiandaeni kwa aibu kubwa kama kweli walishakubali kulipa mbona mnataka mjadala wakati tulutegemea waseme tayari wamesha tulipa?
 
Huku Mtaani CHADEMA wamekosa Umaarufu mtaani wameshapata Usemi kuwa CHADEMA Wanashirikiana na Mafisadi.

Hivi karibuni ripoti za Mchanga zimekifuta chama cha CHADEMA and bouncing back is Unlikely na Uchaguzi wa 2020 mtapoteza Wabunge wengi na 2025 chama kitakua kimesahaulika miongoni mwa watanzania.

Nawashukuru wananchi wanamuunga Mkono Rais Magufuli kwa juhudi zake za Kulinda Rasilimali za Nchi.
View attachment 525537
Huku mtaani kwetu watu wanasubiria noah ili wanzishe uchumi wa noah
 
CCM ni wezi wakubwa ....msijipe moyo.hii ni mbinu mpya ya awamu hii kupiga dili.
Dili linapigwa hivi: baada ya majadiliano magufuli atatoa Amri ya kutembelea magodi yote ambapo atapewa Rushwa ya madini kibao akauze ajengee Chato kwao huu ni ufisadi wa kisayansi kaona apige Dili mapema kwani 2020 chochote chaweza kutokea asirejee madarakani akabakia kuwa masikini.
 
hivi ni nani aliingia mkataba kusafirisha huo mchanga??
1.Chenge
2.Kikwete
3.Karamagi
4.Ngereja
5.Mkapa
6.Muhongo

Fukueni na la kuuza nyumba za serikari!! au mpaka astaafu???
Achana na hao CCM. Wamewataja wahusika, walioshirikiana na hao wezi kutuibia. Wahusika wote ni wanaCCM, cha kushangaza nasikia wanadai Chadema ndio wanashirikiana na wezi.
Nilikuwa nafahamu kuwa hawa jamaa ni wajinga na wapumbavu, ila sikutegemea kuwa ni kwa kiwango hiki...yaani "not to that extent" in Le President voice
 
Mkapa na kikwete ndiyo walikuwa wakitoa Amri na sasa kama kikwete kaenda Canada kuunda njia nzuri ya magufuli kupiga chake cha juu ili atulie aache kuwawekea usiku.
Na sasa majina ya Mkapa na Kikwete yanakwenda kuwa taboo, yaani ukisikia unataja jina hilo hata kabla ya watu kusikia unalitaja kwa nini tayari utajipata "Seenteroo"
 
Mkapa na kikwete ndiyo walikuwa wakitoa Amri na sasa kama kikwete kaenda Canada kuunda njia nzuri ya magufuli kupiga chake cha juu ili atulie aache kuwawekea usiku.
Bwana minyoo JK kaenda kwenye kikao cha mambo ya mazingira. Wala sio ku mediate ishu ya makinikia. Ukiwa rais pamoja na kuwa mwenyekiti wa baraza la mawaziri mara zote unategemea ushauri kutoka kwa mawaziri na wataalamu wa idara husika ili kufikia maamuzi. Hao wazee tuwaacheni. Tuchangamkeni na hiki chanzo cha ukombozi kitakacholeta ukomo wa wizi wa raslimali zetu. Kutafuta mchawi sio swala la kipaumbele sana.

Mkapa na kikwete ndiyo walikuwa wakitoa Amri na sasa kama kikwete kaenda Canada kuunda njia nzuri ya magufuli kupiga chake cha juu ili atulie aache kuwawekea usiku.
 
hivi ni nani aliingia mkataba kusafirisha huo mchanga??
1.Chenge
2.Kikwete
3.Karamagi
4.Ngereja
5.Mkapa
6.Muhongo

Fukueni na la kuuza nyumba za serikari!! au mpaka astaafu???
Hayo unayajua wewe, wananchi wanaona juhudi za CCM ya sasa na Mhe Magufuli kupambana na kuhakikisha rasilimali zetu zinarudi mikononi mwa wananchi. Magufuli oyeeeeeeeeeeeeeeeeee, we baki na hiyo orodha yako.
 
Kwa takwimu zile pale juu, sishangai CCM kupenda kuwafanya watanzania waendelee kuwa wajinga...wasio na uwezo wa kujenga fikra huru. Maana kwa suala hili, tumemsikia yule mzungu anaongea maneno fulani, lakini kinachoongelewa mitaani ni tofauti kabisa. Sasa hivi karibuni pale matumaini ya trilioni 108 yatakapopotea, wananchi wataanza kuhoji, na hapo ndipo mjadala wa makinikia na hiyo vita ya uchumi vitakapopigwa marufuku kujadiliwa kama ule mjadala wa FARU JONI.
 
Back
Top Bottom