Recent content by baba frances

  1. baba frances

    JamiiForums Tanzania Kutembea na bastola kiunoni kuna kunasaidia nini kwa Tanzania?

    Kwa mtanzania wa hali ya kawaida na asie na makuu hakumsaidi ila Kwa tajiri mwenye mamali ndani au tapeli tapeli kunamsaidia kufanikisha mambo yake
  2. baba frances

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop zinauzwa

    Upo mkoa gani
  3. baba frances

    JamiiForums Tanzania Dog trainer jijini mbeya

    Mwanza siwezi fika ni mbeya na ungekewa mkoa wa jirani ningekushauri umlete Ila Kwa mwanza nadhani ni mbali kidogo Ahsante
  4. baba frances

    JamiiForums Tanzania Dog trainer jijini mbeya

    Gharama inategemea na somo huska ila sio gharama maana nijambo LA kudumisha ulinzi
  5. baba frances

    JamiiForums Tanzania Dog trainer jijini mbeya

    Habari kwa yule mwenye uhitaji wa kufundishiwa mbwa mkoani mbeya minipo naujuzi wa kufundisha mbwa ukali anapokuja mwizi,utii kwa boss wake,kumwepusha na sumu, pamoja somo lolote unalohitaji mbwa wako afahamu Nina cheti na uzoefu wa miaka kumi pia naweza kukusaidia ukapata mbwa bora na pia...
  6. baba frances

    JamiiForums Tanzania Kuna mikopo kwa dhamana ya kiwanja

    Ukubwa ni meta square 1428
  7. baba frances

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kufika kuzimu

    Namba yako tafadhali
  8. baba frances

    JamiiForums Tanzania Kuna mikopo kwa dhamana ya kiwanja

    Kama bank gani wanaweza nikopesha niende
  9. baba frances

    JamiiForums Tanzania Kuna mikopo kwa dhamana ya kiwanja

    Habarini wanajamii forum wenzangu Leo nimekuna naubishana na jamaa Fulani juu ya uwezo wa kukopa Pesa katika taasisi za kifedha hasa hasa katika mabenk kwa dhamana ya kiwanja hivyo naomba kwa mwenye uelewa juu jambo hili naomba anisaidie kuwa naweza kukopa nikaweka dhamana kiwanja chenye hati...
  10. baba frances

    JamiiForums Tanzania Vanessa Mdee katika skendo kubwa ya kutumia madawa ya kulevya (Heroin)

    Kwa habari hizi nikimsikia mtoto wangu anataka kuwa msanii nitamkataza maana imekuwa njia ya uteja
  11. baba frances

    JamiiForums Tanzania Ferouz: Inaniwia vigumu kuacha madawa ya kulevya

    Kinachoniumiza akili ni utumiaji Kwa miaka 20 ijayo watoto wetu itakuwaje maana wakati nakua ukimwi ulikuwa tishio sana na ikisikia MTU anaukimwi ulikuwa unamwonea huruma sana lkn sio kama sasa umekuwa hautishi ingawa bado ni hatari sasa Kwa miaka ijayo utumiaji Wa madawa kama hakutakuwa na...
  12. baba frances

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Namshukuru Waziri wa Nishati na Madini kwa kutengua upandishaji wa bei ya umeme

    Nilitaka kununua solar Kwa kauli yake naahirisha
  13. baba frances

    JamiiForums Tanzania Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Nataka kuonana na jini
  14. baba frances

    JamiiForums Tanzania Balimi extra lager

    Kiukweli IPO vizuri ni bia ya kiume ila usipokula utaaibika huku mbeya watu wanazinywa ila in buku mbili popote uendapo ila tumemiss safari ndogo alimaharufu mwendokasi
Back
Top Bottom