baba frances
Member
- Dec 18, 2016
- 39
- 37
Habari kwa yule mwenye uhitaji wa kufundishiwa mbwa mkoani mbeya minipo naujuzi wa kufundisha mbwa ukali anapokuja mwizi,utii kwa boss wake,kumwepusha na sumu, pamoja somo lolote unalohitaji mbwa wako afahamu Nina cheti na uzoefu wa miaka kumi pia naweza kukusaidia ukapata mbwa bora na pia kukusaidia kukuzia mbwa na kukushauri pia 0755469696