Balimi extra lager

Mgodo visa

JF-Expert Member
Nov 1, 2016
3,590
3,626
Woouh...!! Dada kanifanyia "SUPRISE" kwa kuniletea bia BALIMI yenye ujazo 500 ml na 5.8 alc........nikiwa Dsm......

Hii ni bonge la ***a toka kule kanda ya ziwa.....bei 1500 ....kwa heri safari 2016....karibu BALIMI 2017....
1483116974813.jpg
 
....hujanishawishi bado kwa ninayoyashuhudia yakiwatokea wanywaji;
....Dar hakuna ugali wa mtama na minyama/samaki ya kule
 
Tunaita FASTJET..bei rahisi majibu fastaaa


Heineken ya kanda ya ziwa

Ni vitamu hivyoo balaaa,naona sasa vipo mpk nyanda ya juu kusini na kusini vinaenea tz nzimaa


BALIMI EXTRA LAGER
FASTJET

Sent from my HUAWEI Y330-U01 using JamiiForums mobile app
 
Watu tunalalamika ugumu wa maisha usawa huu, nyie mnakuja na mambo ya kumsifia 'Pombe'! au kwa sababu anatokea kanda yenu? miye sina hamu kabisa na huyo mtu.
 
Back
Top Bottom