baba frances
Member
- Dec 18, 2016
- 39
- 37
Habarini wanajamii forum wenzangu Leo nimekuna naubishana na jamaa Fulani juu ya uwezo wa kukopa Pesa katika taasisi za kifedha hasa hasa katika mabenk kwa dhamana ya kiwanja hivyo naomba kwa mwenye uelewa juu jambo hili naomba anisaidie kuwa naweza kukopa nikaweka dhamana kiwanja chenye hati miliki?