Manati ya mzungu very necessary,jambazi akiisikia anafikiri kuna jeshi,hawa vipanya roads wanapoteana kabisa kila MTU lakeBora uwe nayo wakati huihitaji kuliko kuihitaji kipindi ambacho hunayo. Sio silaha ya kivita ile kiasi kwamba isubiri hadi kuwe na vita ni ulinzi binafsi tu. Mbona tunayo majeshi kwa mfano, kwani kuna vita?
Kwa tanzania hakusaidii kitu chochote, maana unakuwa hauko huru kwasababu muda mwingi unakuwa makini kuilinda badala ya kukulinda wewe, so mm binafsi naona kama adhabu vile
Ni kweli nchi yetu ina amani tele lakini nikwambie,kuna watu pia wapo wametuzunguka ktk jamii hawapishani wale walioko Gwantanamo,ukija kukutana nao utaona umuhimu wa kipapatioWakuu, hivi kwa nchi kama yetu isiyo na vita kuna haja ya kuwa na bastola kiunoni full time?
Mkuu mwenzio mmoja anaitwa Ditopil alifanya kweliAisee muhimu sana, unaweza kuwa road halafu daladala linakuchomekea kusudi na kama haitoshi matusi utapewa. Sasa ukiwa nayo hiyo utachimba bonge la biti atajuta kukufahamu. Watu kama kina scorpion watakupitia mbali sana, I wish niwe nayo mkuu