Clueless14
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,111
- 4,773
Huko kuzimu ccm pia ipo?
Ndo makao makuu
Huko kuzimu ccm pia ipo?
Falu johnHuko kuzimu kuna vivutio gani vya utalii mkuu?
We jamaa great thinker kweli hasa hapo kwenye pembe ya mbuziPembe ya mbuzi ni ndogo viganja saba vya maji vitatosha? 'Archimedes Principle' inaonesha kua hayo maji hayatatosha kuweza kuyatemea humo mara saba.
Ili niwe na uhakika haya mayai ni ya kuku mweusi itabidi nimfuge mwenyewe, na siyo kwenda kuyanunua na kumuuliza muuza mayai.
Umetoa maelekezo ya kwenda ya kurudi vipi?
Huu uwekezaji una risks nyingi kushinda faida.
Kurudi unarudi na air tanzania.Pembe ya mbuzi ni ndogo viganja saba vya maji vitatosha? 'Archimedes Principle' inaonesha kua hayo maji hayatatosha kuweza kuyatemea humo mara saba.
Ili niwe na uhakika haya mayai ni ya kuku mweusi itabidi nimfuge mwenyewe, na siyo kwenda kuyanunua na kumuuliza muuza mayai.
Umetoa maelekezo ya kwenda ya kurudi vipi?
Huu uwekezaji una risks nyingi kushinda faida.
Eh hapo sawaKurudi unarudi na air tanzania.
kuhusu uhakika wa mayai meusi, kuna maduka maalum wanao uza vifaa vya kishirikina, hawezi kukudanganya kuwa ni yakuku mweusi kumbe ni mwekundu.
Unajua ujazo wa maji kwa kiganya? na sio kila pembe ya mbuzi yatumika kwa uganga, kuna mijibuzi inapemve bwana.