Huyu wakili akijua maana ya neno kubaka au kubakwa hatorudia kutoa kauli kama hii. Wakili kama huyu anaweza kusema kuwa mwanamke hana nguvu za kumpiga mwanaume. Hayuko sawa
Hii nchi maigizo ni mengi sanaaa.. unaweza kukuta aliyemshitaki huyu mtendaji kwa kuiba 1m alishawahi kuiba 200m na nyingine nyingiii na hajawahi kukamatwa, inawezekana kabisaa amemshitaki kwasababu labda dill ilikua yake mtendaji akamuwahi. Yani hii nchi kuna watu wameiba billions of money bt...
hahahaahahahaa.. vitu vingine vinachekesha kwakweli, alivyokua anawachafua wakina mbowe serikali ilikaa kimya, sasa amegeuka upande wao ndio wanaamka na kuanza kurusha povu. Wajifunze kuvumilia kama wakina mbowe na kina zitto walivyovumilia na mwisho akachoka
Kuna kesi nyengine zinasukika hata ukimsukuma hakimu anasukumika, nyengine hakimu hasukumiki coz ni nyepesi snaaaaaaa.. Mfanowe nni hii, ni nyepesi snaaaa
Sasa umetuma huu ujumbe huku unauhakika kama aingiaga humu jamii forum? Ingefaa ungeenda istagram angekupata kwa wepesi
Sent from my TECNO-A7 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.