Recent content by Ba Ian

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ningelikuwa mimi ningelijiuzulu kuliko kubeba dhambi isiyosameheka Mbinguni na Duniani

    Dhambi ya kuasi haisameheki mkuu.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Huwezi amini sasa hivi JF hakuna mada nyingi wala Vibe la Simba na Yanga kama zamani

    Zinakufa kifo cha asili, ni swala la muda tu.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Tuwazuie watanzania wanaokwenda kusoma nchi za Magharibi

    Pia vifaa tiba, dawa, vyombo vya usafiri na mawasiliano, zana za kijeshi tukanunue Msumbiji.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nataka kumuamini Nchimbi, lakini nimepoteza imani na mwana CCM yeyote

    Ana sauti ya kimamlaka.
  5. B

    JamiiForums Tanzania UZURI MBINGUNI HAKUNA MPIRA NA MPIRA NI DHAMBI

    Na zaidi ya miezi 6, siskilizi vipindi vya michezo wala siangalii mpira. Soka la bongo limegeuka upuuzi mtupu.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Pikipiki za Umeme Tanzania: Okoa hadi TSh 450,000 ya Mafuta kwa Mwezi kwenye Delivery

    Dodoma mnafika lini? Je naweza kucharge nyumbani?
  7. B

    JamiiForums Tanzania Machache ya kuzingatia - Maalumu kwa tamaduni za kitanzania

    Mzee Mshana tuendelee kutafakari nguvu ya msalaba.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akiwa Mahakamani: Jamani huko Uraiani kukoje?

    Nje ya siasa, hatufanyi vitu kwa ajili yetu bali kwa ajili ya wengine mf: kazi nk.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Empty Container inauzwa feet 20 kwa Million tatu tu.

    Dodoma linafika kwa sh ngapi Boss
  10. B

    JamiiForums Tanzania Napenda kufahamu GHARAMA za kufyatua PAVEMENTS na kununua. Ipi ni nafuu?

    Kwa Dar es salaam na Dodoma itagharim sh 17,000 kwa sqm 1.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kelele zikiwa nyingi na kuwazomoea Bodi Kwa Maamuzi ya Kijinga, msije kushangaa Yanga anapewa Point 3 maana washaanza kuraruana tayar.

    Enzi za Kigogo2014 tungeshapata majibu ya mani yupo nyuma ya mchezo, staki kuamini haya yanayosemwa.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Asomaye na Afahamu

    Neno.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kampuni zinazohusika na kutengeneza pesa

    HESHIMA kwenu. namshukuru muuliza swali, na wote mliotoa elimu kupitia michango yenu. Naomba kujua je mtu anawezaje kujiimarisha kiuchumi?
Back
Top Bottom