Empty container for sale
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 2,617
- 2,125
- Thread starter
- #121
Available
Hii nzuri....unalitia mzigo wa milioni kumi au 20 ndani, alafu unalisafirisha kwa 1.6Hili unaliwekeza Mzigo linaondoka noa unakuwa Umesave
TrueHii nzuri....unalitia mzigo wa milioni kumi au 20 ndani, alafu unalisafirisha kwa 1.6
Dodoma linafika kwa sh ngapi BossTrue
Dodoma bajeti yake inaweza kupanda na kushuka endapo tutafanya cost sharingDodoma linafika kwa sh ngapi Boss
Daaah! Maisha haya, nimekaa na kontena sumbawanga miaka mi4 natafuta mteja sipati, hadi nikaja kuuza kwa 1m, leo anatokea mteja hukohuko swanga kwa bei ya 3mItanidharim kias gan kulisafirisha mpaka Sumbawanga. Mwenye kufaham