Uko sahihi, ila ingekua vyema ungeweka namba ya simu, au uuruhusu watu waje DM, na ungetoa location ulipo najua ungepata aliye karibu baada ya ww kuchagua unayemtaka kutoka kwenye wote watakaokucheki...
Ila kama hamna info hizo, unachangamsha genge
Hilo swali, lazima lijibiwe kwa hasira..maana umeuliza swali la logic,kitu ambacho yeye hataki kujua anaishi zake na hisia...hahaha,
Logic ni kwamba sio mtoto wa kwanza,haha
Gari ilikua parking, milango ipo wazi mpaka askari aingie kujilaza ndani?
Mazingira ya picnic, hakuna mtu ataacha gar bila kulock, tuanzir hapo kwanz.a
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.