Recent content by Aza

  1. Aza

    JamiiForums Tanzania Labda mnielimishe nyie, sioni faida ya paka ambae mke anamgharamia sana bila faida

    paka mzuri sana anaonekana anapata kweli raha ndomana yuko ivo miguu juu...love cat
  2. Aza

    JamiiForums Tanzania DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    tuwatag hapa DAWASA @mwauwasa pia wanabambika bill za maji sijui wanazitoa wapi...hatuzilipi asee
  3. Aza

    JamiiForums Tanzania Kwa tulioumwa mafua yale ni mashahidi tosha, nahisi ile ilikuwa ni Covid 19

    #NAKUBALIANA niliumwa sana pia nov 2019 hadi 20 dec 2019 nilipimwa maabara magonjwa mengi tu lakini haikusaidia dr aliniandikia dawa nyingi tu,ilibidi nirudi kwa dr tena nikapimwa maabara tena na dawa zingine na uku home nanywa asali na tangawizi.nilikuaja pona kabla ya christmas...
  4. Aza

    JamiiForums Tanzania Msaada njia ya kuagiza mabalo ya mitumba grade one kutoka nje ya nchi

    hizi namba zimekamilika?
  5. Aza

    JamiiForums Tanzania Polisi afia baa baada ya kulewa sana

    heheheee
  6. Aza

    JamiiForums Tanzania Kwa mliotembelea dunia: Hivi kuna nchi yenye traffic police wengi barabarani kama Tanzania?

    na hawatatoka si wanakusanya mapato? kwengine hakuna
  7. Aza

    JamiiForums Tanzania Gari lilikuwa nyumbani siku 2, mfumo wa Trafiki Polisi unaonesha ilipigwa faini

    ukienda izo ofisi utasikilizwa?litatatuliwa na hautaambiwa lazima ulipe?
  8. Aza

    JamiiForums Tanzania Serikali lazima ifanye jambo kwa hawa traffic police hawatendi haki

    ndivo walivo baadhi yao pole sana shemeji yangu yalimkuta hayo tumo wote na taa ya green ilikua haijazima akapita mbele kuna kibanda traffic kama 3 ivi akasimamishwa akaambiwa tupe leseni (hii tabia ni mbovu sana) anaambiwa kwann umepita na red right? uku anakata risitia shem kajibu tu ni...
  9. Aza

    JamiiForums Tanzania TUNDUMA: Matrafiki wapigana na Dereva wa Fuso

    wana ushahidi gani kwamba aliwakashifu na maana yake nini kukashifiwa,mahakama kama ina haki ndo itaamua mana bila ushahidi no case,awa viumbe huwa wababe na hawafati sheria na miongozo ilivoandikwa kuna makosa ya onyo na fine na kukamatwa kufikishwa mahakaman
  10. Aza

    JamiiForums Tanzania Police brutality sayansi traffic lights

    shemeji yangu yalimkuta hayo tumo wote na taa ya green ilikua haijazima akapita mbele kuna kibanda traffic kama 3 ivi akasimamishwa akaambiwa tupe leseni (hii tabia ni mbovu sana) anaambiwa kwann umepita na red right? uku anakata risitia shem kajibu tu ni green light siwezi kuvuka ikiwa red na...
  11. Aza

    JamiiForums Tanzania Madereva wa malori, na police traffic acheni tabia hii..

    tunakuelewa bro,tulipofikia ni at the edge of the cliff
  12. Aza

    JamiiForums Tanzania Je, Traffic police wana haki kukamata gari kwa kuchelewa kulipa fine?

    hakuna muelekeo wala muongozo kila kitu ni mihemko tu tupambane tu hakuna wa kumsaidia raia
  13. Aza

    JamiiForums Tanzania Traffic police: Kosa la taa moja ya gari

    traffic wanakera sana na naona maelezo ya maboss wao na waziri wao ni tofauti kabisa na utendaji kazi wao,hilo ni kosa la kuelezwa na wala sio tatizo ukisoma risiti zao zile utaona kuna mjumuisho na sio one bulb au one tyre deffects.tuna malalamiko nao sana ila simu za maboss wao tunazo...
  14. Aza

    JamiiForums Tanzania MADA: Fahamu zaidi kuhusu mbinu za kilimo cha tikitimaji, faida na changamoto zake

    miss naire, dada una akili sana nimekupenda bure hauna uchoyo wa ufafanuzi ulivolima kila la heri tena na tena ufanikiwe sana sana
Back
Top Bottom