Je, Traffic police wana haki kukamata gari kwa kuchelewa kulipa fine?

Songuo

Member
Sep 28, 2012
9
1
Je, Traffic police wana haki kukamata gari kwa kuchelewa kulipa fine iliyotokana na kosa la barabarani?
Je, hiyo ni kazi ya traffic poice au ya TRA?

Naomba na reference tafadhali ikiwezekana!
 
hakuna muelekeo wala muongozo kila kitu ni mihemko tu tupambane tu hakuna wa kumsaidia raia
 
Back
Top Bottom