Polisi afia baa baada ya kulewa sana

Polisi afia baa baada ya kulewa sana

Inawezekana kuanguka kumechangia kifo, inategemea alijigonga wapi na kwa kishindo kipi.
 
Alisema baadaye walipohojiwa watu waliomleta walidai kuwa alikuwa amekunywa kiasi kikubwa cha pombe, hivyo uchunguzi wa kitaalam wa sababu ya kifo chake ni kwamba alikuwa amekunywa pombe kwa kupindukia.
Tukiambia tumo ndani ya shithole country tunapiga kelele,kweli uchunguzi wa kitaalamuliofanyika umejiridhia kuwa marehemu alifariki baada ya kunywa pombe kwa wingi!!!!,hivi pale hospital ya mkoa kuna foresinc phothologist?ningependa nimuulize maswali magumu sana,but sometime hii nchi inatia hasira sana,pole mno kwa ndugu waliofiwa ila wanahaki ya kumtafuta private foresinc phothologist afanye uchunguzi upya,ila sitowalaumu maana kwana hatuna watu wa fani hii na uwezo pia hamna,huyu naye ni another one wanaozikwa na wanaondoka na ushahidi wao,why hakufanyiwa toxics test?why wanakimbilia kwenye majibu rahisi na kwa ufinyu wetu tunayakubali tu.
 
Weza kuwa ni mmoja wa wale WASIOJULIKANA sasa ALBADIL imeanza kazi


SWISSME
 
Alisema mtoa taarifa alieleza kwamba wakati askari huyo anaingia Friend's Pub, aliteleza na kuanguka kwenye ngazi na baadaye alimwinua na kumtoa nje kisha askari huyo alirejea na kukaa kwenye kochi wakati huo mhudumu akiendelea kuhudumia wateja.

“Ilipofika majira ya saa 4:15 asubuhi jana (juzi), wahudumu wakiwa wanafanya kazi za usafi, ndipo walipomwona PC Donald akiwa kwenye kochi wakidhani amelala lakini walipojaribu kumwamsha hakuamka ndipo walipotoa taarifa polisi. Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufani ya Mkoa wa Ruvuma


Bar haifungwi, inakesha, kama inafungwa kwanini wahudumu hawakumwondoa badala yake wakamwacha alale bar, au hofu ya kuwa askari haguswi, akiguswa unatembea mkong'oto
 
Dk. Lumbe alifafanua kuwa baada ya kufanya uchunguzi wa kitabibu ilionekana kuwa askari huyo ameshafariki dunia muda mrefu uliopita na kwamba uchunguzi huo ulionyesha hakuwa na mchubuko wowote isipokuwa kulikuwa na mchubuko mdogo kwenye shavu la kushoto.

Alisema baadaye walipohojiwa watu waliomleta walidai kuwa alikuwa amekunywa kiasi kikubwa cha pombe, hivyo uchunguzi wa kitaalam wa sababu ya kifo chake ni kwamba alikuwa amekunywa pombe kwa kupindukia.


Tafakari kwa kina hapa!!

Yaelekea Dr. ali conclude kwa kutumia taarifa ya waliomleta, utaalamu unasema alikuwa na mchubuko kidogo kwenye shavu la kushoto

Mwishoni: ...walipohojiwa watu waliomleta walidai kuwa alikuwa amekunywa kiasi kikubwa cha pombe, hivyo uchunguzi wa kitaalam wa sababu ya kifo chake ni kwamba alikuwa amekunywa pombe kwa kupindukia
 
Hela za rushwa ama
Hapo alipodondoka inaonekana hakujua maumivu maana alikuwa hajielewi
Wamezidi nao

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Polisi wenyewe pa kuanzia wanakosa sasa daktari atafanya nini?

Ni kuconclude tu amekunywa pombe nyingi
 
Back
Top Bottom