Recent content by ayubuchacha12

  1. ayubuchacha12

    Leaked Audio Captures Romney Asking Employers To Tell Their Employees How To Vote

    mijadala yao mikali, inabidi marais wetu nao wawe wanafanya midahalo wakati wa kampeni
  2. ayubuchacha12

    Hukumu Kesi ya Mgomo wa Walimu: Mgomo ni batili

    :hungry: :lalala: :israel:JAMANI NAOMBA MNITAJIE MGOMO ULIOWAHI KUWA HALALI HAPA TANZANIA BAADA YA UHURU?????:flypig: :A S 465:
  3. ayubuchacha12

    Mwana jf, tukikupa urais wa tanzania 2015 utatufanyia mambo gani ili tusikuite dhaifu?..

    ntahakikisha nazalisha umeme wa kumwaga kiasi kwamba unit moja inunuliwe kwa shilingi moja ya kitanzania!! Umeme ndo siri ya maendeleo , hayo mengine ni kujazilishia tu.
  4. ayubuchacha12

    Kitilya wa TRA kupelekwa TANESCO ?

    hahahahaa, umenichekesha,,,,,tukodi ma-CEO sio
  5. ayubuchacha12

    Kwanini mashirika ya hifadhi ya jamii kama NSSF, PPF, PSPF & LAPF hayawekezi kwenye sekta ya madini?

    Mashirika haya ya hifadhi za jamii wanawekeza kwenye majumba, umeme, madaraja nakadharika. Umefika wakati sasa wawekeze kwenye madini kama kuchimba dhahabu, mafuta..n.k. Madini yanalipa sana.!!! Kwa nini mnashindwa kuwekeza kwenye madini...kuna tatizo au kikwazo kipi????
  6. ayubuchacha12

    Mawazo ya biashara, acha maneno kwani maneno sio matendo!

    BUSINESS ACTIVITIES IDEAS:::: 1.Mining and quarrying of asbestos, mica, quartz, gem stones, abrasives, asphalt and bitumen, other non-metallic minerals, n.e.c. 2 Slaughtering, preparing and preserving meat, including sausage, edible animal 3 Processing of inedible oils and fats. 4 Canning...
  7. ayubuchacha12

    Ukitaka uwe mwalimu mwenye hela soma Civics

    namaanisha kuwe na haki katika malipo, mwenye kufanya kazi ngumu / kusoma masomo magumu alipwe mshahara mnono.
  8. ayubuchacha12

    Ukitaka uwe mwalimu mwenye hela soma Civics

    Makaratasi huwa ni mengi ya kusahihisha somo la uraia/civics kwenye mitihani ya kitaifa ya sekondari, General study (GS) kwa sekondary ya juu (High School) na development studies kwa ngazi ya vyuo. Kwa hiyo waalimu wanaosahihisha URAIA wanapata hela nyingi kushinda waalimu wa PHYSICS...
  9. ayubuchacha12

    Mwakyembe apanda treni kwenda Bungeni Dodoma

    jamani tuangalie tusije kuwa kama Ugiriki tukatangazwa bunkrupt!
  10. ayubuchacha12

    Bubu naye ana haki ya kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania-hii nayo iwekwe kwenye katiba

    kwa maandishi,,,ataandika maamuzi, maelekezo na hotuba ataandika na kusomwa kwa wananchi
  11. ayubuchacha12

    Yaliyojiri Mkutano wa CCM Viwanja vya Jangwani (Dar) Juni 9,2012

    :clap2: Mimi nafikiri ni muhimu watu wapewe nafasi ya kuuliza maswali ya moja kwa moja kwa mgombea au mwanasiasa anayesimama jukwaani kuhutubia wananchi...hii ni kwa sababu mawasiliano ni two way trafiki...sio mtu mmoja aongee tuuu, kuwe na majadiliano rather than hotuba.
  12. ayubuchacha12

    Bubu naye ana haki ya kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania-hii nayo iwekwe kwenye katiba

    Ndio uone mapungufu ya democrasia hii ya kuchaguana kwa kura...tubuni njia mbadala ya kupata viongozi..
  13. ayubuchacha12

    Bubu naye ana haki ya kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania-hii nayo iwekwe kwenye katiba

    :clap2: UNAJUA SUALA LA KUCHAGUA KIONGOZI KWA KUANGALIA ANAVYOONGEA NA KUCHANGIA KIFEDHA SIO ZURI KWA SABABU UONGOZI SIO FEDHA WALA MANENO...UONGOZI NI KUTOA MAAMUZI SAHIHI...HII YA KUCHAGUA WATU WANAOJUA KUONGEA KUMEWANYIMA HAKI YA KUWA RAIS MA-BUBU WENYE IQ KUBWA!!!
  14. ayubuchacha12

    Tusiwe na vyama vya siasa, tubuni namna yetu ya peke yake ya kupata viongozi

    :clap2: Mtihani utasimamiwa na baraza la mitihani chini ya uangalizi mkali,,,na sheria iwekwe kwamba kukitokea udanganyifu wowote adhabu kali kuliko zooote duniani itolewe. Kuna namna ya kupima IQ ya mtu na waalimu hufundishwa kupima IQ ya wanafunzi na watu wote kwa ujumla, kwa hiyo kama kuna...
Back
Top Bottom