Kwanini mashirika ya hifadhi ya jamii kama NSSF, PPF, PSPF & LAPF hayawekezi kwenye sekta ya madini?

ayubuchacha12

Member
May 8, 2012
19
7
Mashirika haya ya hifadhi za jamii wanawekeza kwenye majumba, umeme, madaraja nakadharika. Umefika wakati sasa wawekeze kwenye madini kama kuchimba dhahabu, mafuta..n.k. Madini yanalipa sana.!!! Kwa nini mnashindwa kuwekeza kwenye madini...kuna tatizo au kikwazo kipi????
 
sisi tunataka wawekeze kwenye kujenga viwanda ambavyo vitachangia uchumi na pia kuwezesha wananchi wengi wapate ajira nyingi.
 
Back
Top Bottom