The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,613
Mitambo ni real wakati hujui hata uchakavu wake ni wa kiasi gani? Kwa hiyo ukiwa na taratibu zako za manunuzi au za kuingia mikataba hata zikiukwa wewe huoni tatizo!!! Duh!
Sijachanga madawa popote pale niliyoyaandika yote ni facts ambazo zinaweza kuwa verified.
kuna vingi umeongea sio fact ni siasa tu za kina Rostam na Mwakyembe
huwezi kuiita kampuni ya kitapeli wakati mitambo yake unaitumia
tapeli maana yake 'hakuna kitu alichokupa' ni hewa tu
mitambo ilikuwepo na ipi mpaka leo
na Idrissa alikuwa right kutaka kununua na sio kuikodisha