Recent content by Ayos

  1. Ayos

    JamiiForums Tanzania Nimegombana na mchumba wangu, naombeni ushauri

    Fungua goup la kamati ya harusi whatsapp alafu umuadd, kununa itaisha
  2. Ayos

    JamiiForums Tanzania Je kwa hili imani inasemaje kabla haya ya Eda kuisha? Ni sahihi au kwa wakubwa hizi imani hazifanyi kazi?

    Sheria zipo ili zivunjwe.... Angalau leo nimemtetea mh rais
  3. Ayos

    JamiiForums Tanzania Kulipa kodi kubwa sio sifa

    Kabsa, kujenga inapunguza zoruba kubwa sana kwa familia
  4. Ayos

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Wanaume hawapendi kuulizwa maswali haya sita kutoka kwa wenza wao?

    Ilo la uko wapi linatukumbusha kwa Adam alipokula tunda akawa uchi akaamua kujificha... Ghafla akasikia sauti inaita Adam uko wapi?
  5. Ayos

    JamiiForums Tanzania Wicknell Chivayo amtembelea Rais Samia Ikulu na kumfariji baada ya kufiwa na Mume wake

    Sonko kama sonkooo.. Uyu jamaa anamizizi mirefu..
  6. Ayos

    JamiiForums Tanzania Wanandoa waenda mahakamani kudai talaka wakiwa wamevalia mavazi sare

    Hawa watakua wanpasha kiporo wakisha talakiana, na uyo jamaa atakua analipa kodi kiroho safi
  7. Ayos

    JamiiForums Tanzania Kulipa kodi kubwa sio sifa

    Mimi wazazi wote walitangulia mbele za haki kwahyo kwetu ndio kwangu sasahvi.. Nilisoma nikakosa ajira kwahyo hapa nimepatumia kufugia pia
  8. Ayos

    JamiiForums Tanzania Je, Unaweza Kuwa Jasusi Bila Kujijua? 🤔

    Jasusi asielipwa anajulikana kama mbea, msengenyaji, mshambenga ,kipepe a.k.a mchochezi..
  9. Ayos

    JamiiForums Tanzania ID zenu nyingine tunazijua

    Mimi nlitaka tu kutoa dukuduku langu sasa hizi ofa za milioni na mkwara juu ndugu mbona kama ni kunitisha? We niambie nitaje tu pengine ikawa kweli au nikawa nimekosa
  10. Ayos

    JamiiForums Tanzania Kulipa kodi kubwa sio sifa

    Wengine wamezaliwa kusumbukia vitu vya ulimwengu, japo ndio hvo kila mtu anakitu chake kinachompa furaha... naweza kukaa nyumba ya 45,000 na nikamiliko gari ya milion20, naweza kuvaa suruali ya 5000 na nikawa na simu ya 2 milion
  11. Ayos

    JamiiForums Tanzania Kulipa kodi kubwa sio sifa

    Duniani sio kwetu na tunazaliana tu, mimi niko kwenye nyumba ya urithi nataka kuiboresha ndio nianze kuzaaana na kujaza nchi
  12. Ayos

    JamiiForums Tanzania ID zenu nyingine tunazijua

    Bro Mshana Jr mimi najua ID yako moja ya kike
  13. Ayos

    JamiiForums Tanzania Pipo za JF

    JE makamaria na forex? Na Watumishi wa mungu tulioko huku? Wako pia makachero wa kutosha? Matapeli nao wamo? Walia njaa wapo Wanaotetea na kusambaza ushoga ni wengi Wapinga kristo wapo, wanaosema Hakuna mungu pia wapo Chawa wa wanasiasa? Wakulima na wafugaji je?
  14. Ayos

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Uchunguzi wa kifo cha aliyeongeza uume yatoka rasmi

    HAhahah! Kumbe hela kuliwa ndio tatizo? Kiujumla uwezi kukomoa hiyo jinsia wewe hela zako mpe mzazi wako au wahitaji au church... Ila kwa msaada mkongo pia ukipaka utaichapa sanaa, pia na experience na mirungi iko vzuri japo yote hayo unachoka mwili tu bure
  15. Ayos

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Uchunguzi wa kifo cha aliyeongeza uume yatoka rasmi

    Ili iweje sasa sikujichosha huko?
Back
Top Bottom