Recent content by Avriel

  1. Avriel

    JamiiForums Tanzania Japo Uchawi Upo, Wachawi Wapo na Wanaloga!, Anayeruhusu Kulogeka ni Wewe Mwenyewe!, Unaweza Kuzuia Kulogeka Kwa Imani! na Ukawa Hulogeki!.

    Kaka Pasiko kwani kisukuma kimekuwa lugha ya taifa? Ni kuloga au kuroga?
  2. Avriel

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Mwanamke wangu ananiambia mtoto si wangu

    Kathibitishe kwa kupima DNA maana grounds Unazo kwakuwa mama wa mtoto amesema sio wako. Fuata taratibu za kupima uweze kujiridhisha.
  3. Avriel

    JamiiForums Tanzania Wanaume waliojipata kimaisha. Kitu gani kinafanya sisi wengine tuchelewe kufanikiwa? Tunaomba ushauri wako

    Anaomba mbinu usijifanye hujamuelewa bwashee
  4. Avriel

    JamiiForums Tanzania Polepole amefanya nimwelewe Magufuli

    Hakurudishwa tena bungeni....Juma Nkamia na yule ponjolo WA Rukwa Au umesahau?
  5. Avriel

    JamiiForums Tanzania Tumesahau alichofanywa Dkt. Ulimboka, Mwangosi na Said Kubenea. Nchi hii ni ya kinafiki sana

    Yupo hapa nchini anaendelea na majukumu yake
  6. Avriel

    JamiiForums Tanzania Tumesahau alichofanywa Dkt. Ulimboka, Mwangosi na Said Kubenea. Nchi hii ni ya kinafiki sana

    Sheikh Ponda alipigwa risasi mwaka gani Kweli?
  7. Avriel

    JamiiForums Tanzania Kitu gani umeshindwa kuacha moja kwa moja

    Kwanini uache skanka lakini?
  8. Avriel

    JamiiForums Tanzania Nimekuta vidonge kwenye pochi ya mchumba

    Dawa ya kuzuia maumivu ya kukaza misuli Au uvimbe Au cramping wakati wa hedhi.
  9. Avriel

    JamiiForums Tanzania Faida za kumkausha ng'ombe

    Asante
  10. Avriel

    JamiiForums Tanzania Naanza kuamini yale niliyoyahisi mwaka 2021!

    Ila muziki wa Kibiti ulianza kabla JPM hajaingia ikulu na ukaendelea kupamba Moto kisha akauzima kimya milele
  11. Avriel

    JamiiForums Tanzania Watanzania Kama KARNE hii tupo hivi nasadiki kusema Mwalimu Nyerere(Baba wa Taifa) alipambana Sana

    Kwahiyo nyie mnaohoji ujinga wa SISI WATANZANIA mnakuwa Miongoni mwetu ama nyie mlishajiondoa? Mkijioenda na mkapenda chenu mtaipenda nchi yenu dhidi ya propaganda za ndani na nje.
  12. Avriel

    JamiiForums Tanzania Zile ziara za nje ya nchi za rais wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan siku hizi zimeenda wapi?

    Alisema Hajawahi kukopa yeye haya mahela walikopa wengine ila yanaletwa yeye akiwa madarakani..... Huyu bimdashi Changamoto kubwa sana na kituko cha Dunia kwakweli
Back
Top Bottom