Recent content by Ava Sancez

  1. Ava Sancez

    Uhakiki wa watumishi wawanyima usingizi walimu Kilindi

    Zoezi la uhakiki linaloendelea kwa watumishi wa idara mbalimbali nchini linaloendeshwa na serikali limeacha baadhi ya walimu kukosa usingizi kwani hawana uhakika na ajira zao. Pamoja na kukosa usingizi kuhusiana na zoezi hilo walimu hao pia wamelalamikia kutoongezewa mishahara na kutopandishwa...
  2. Ava Sancez

    Wadukuzi wa Korea Kaskazini waliiba siri za kijeshi za Korea Kusini

    Wadukuzi kutoka Korea Kaskazini walidukua mitambo ya kijeshi ya Korea Kusini na kuiba nyaraka nyingi zenye taarifa muhimu za kijeshi. Miongoni mwa yaliyokuwemo kwenye nyaraka hizo ni mpango wa kumuua kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un. Mbunge wa Korea Kusini Rhee Cheol-hee amesema taarifa...
  3. Ava Sancez

    Kiongozi wa Mai-Mai Sheka ajisalimisha DRC

    Mmoja miongoni mwa wapiganaji wa vita maarufu sana nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amejisalimisha kwa walinda amani wa umoja wa mataifa. Kikosi maalumu cha kulinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kimemtaja Ntabo Ntaberi Sheka, na kumwelezea kuwa ndiye kiongozi mkuu wa...
  4. Ava Sancez

    NIGERIA: Wanaharakati wamtaka Rais Muhammadu Buhari achukue likizo ya matitabu

    Wanaharakati kutoka katika asasi za kiraia zenye heshima kubwa nchini Nigeria imemtaka Rais Muhammadu Buhari achukue likizo ya matibabu. Rais hajahudhuria vikao viwili vya baraza la mawaziri hali iliyozua taharuki juu ya afya ya kiongozi huyo. Rais Buhari hajaonekana hadharani kwa muda wa wiki...
  5. Ava Sancez

    Msaada: Nimeitwa Written Interview Chuo Kikuu Mzumbe

    Mpaka sasa hakuna majibu kimya kimetanda watu wengi waliofanya hawajapewa majibu hata wa kada nyinginezo.
  6. Ava Sancez

    Afrika Kusini: Msichana aliyekuwa anaugua ugonjwa wa kuzeeka afariki dunia

    Afrika Kusini inaomboleza kifo cha Ontlametse Phalatse, msichana wa umri wa miaka 18 ambaye alikuwa anaishi na ugojwa unaojulikana kama Progeria, ambayo ni hali ya kimaumbile isiyo ya kawaida ambayo husababisha mtu kuzeeka kwa haraka. Mwezi uliopita Ontlametse alisherehekea siku ya kuzaliwa...
  7. Ava Sancez

    Maharamia waiteka meli katika pwani ya Somalia

    Taarifa kutoka Somalia zinasema maharamia wa Kisomali wameiteka meli ya mizigo ya India. Kumezuka utata kuhusu eneo halisi ambako meli hiyo ya kutoka India ilikotekwa. Baadhi ya vyombo vya habari nchini vinaarifu kuwa tukio hilo linaarifiwa kutokea Somalia ya kati, eneo la Elhur kiasi ya...
  8. Ava Sancez

    Milio ya risasi yasikika nje ya Bunge Uingereza

    Taarifa zinasema kumetokea milio kadha ya risasi nje ya majengo ya Bunge la Uingereza. Eneo hilo kwa sasa limefungwa na watu hawaruhusiwi kutoka wala kuingia. Wanasiasa na wanahabari wamekuwa wakiandika kwenye Twitter kwamba wamesikia milio mikubwa nje ya majengo hayo. Walioshuhudia wanasema...
  9. Ava Sancez

    Watu wawili wajeruhiwa kwa mapanga Kasulu kutokana na mgogoro wa shamba

    Familia kumi zimekimbia nyumba zao katika kijiji cha Muganza wilayani Kasulu mkoani Kigoma baada ya baadhi ya wakazi wa kijiji hicho kujeruhi watu wawili kwa mapanaga na kufyeka zaidi ya ekari tano za mazao mbalimbali kutokana na mgogoro wa ardhi. Vurugu katika kijiji hicho zimezimwa na...
  10. Ava Sancez

    Msaada: Nimeitwa Written Interview Chuo Kikuu Mzumbe

    Habari za siku watu wangu wa JF. Napenda kuwapa mrejesho wa kilochotokea katika usaili wa Afisa Utumishi pale chuo kikuu Mzumbe. Maswali yalikuwa manne na tulipaswa kufanya matatu huku swali la kwanza likiwa ni la lazima. Kifupi maswali yalikuwa yakihitaji ufahamu na uzoefu wa kutatua mambo...
  11. Ava Sancez

    Teuzi za Rais Magufuli si za bahati mbaya, Mama Salma anakuja kuwaongoza Wanawake CCM

    Mdee kuwaongoza Wanawake CHADEMA inamchango gani kwa nchi? Kama hujui siasa kaa kimya....
  12. Ava Sancez

    Teuzi za Rais Magufuli si za bahati mbaya, Mama Salma anakuja kuwaongoza Wanawake CCM

    Nimefanya tafakuri ya kina sana baada ya kusikia Bi. Sophia Simba hatagombea tena nafasi ya Uenyekiti wa UWT. Nikajiuliza nani ataliongoza jahazi hili la Jumuiya ya Wanawake ndani ya CCM? Hapo ndio nikang'amua kuwa Mama Salma anakuja kikilia kiti hicho na kuwa Kiongozi wa Wanawake wa CCM ndani...
  13. Ava Sancez

    Panya asababisha safari ya ndege kuchelewa Uingereza

    Safari ya ndege kutoka uwanja wa Heathrow hadi San Francisco, ilichelewa kwa saa kadhaa baada ya panya kuonekana ndani ya ndege. Abiria waliokuwa wakisafiri kwa ndege hiyo ya shirika la Uingereza, walikuwa tayari wameingia ndani ya ndege hiyo wakati lilitolewa tangazo kuwa ingechelewa. Carly...
Back
Top Bottom