Ava Sancez
Member
- Jan 27, 2017
- 33
- 50
Nimefanya tafakuri ya kina sana baada ya kusikia Bi. Sophia Simba hatagombea tena nafasi ya Uenyekiti wa UWT.
Nikajiuliza nani ataliongoza jahazi hili la Jumuiya ya Wanawake ndani ya CCM? Hapo ndio nikang'amua kuwa Mama Salma anakuja kikilia kiti hicho na kuwa Kiongozi wa Wanawake wa CCM ndani ya Bunge.
Faida kubwa ya Mama Salma katika nafasi hiyo ataweza kuwaweka Wanawake wa CCM pamoja na kuwa wenye nguvu zaidi.
Ahsanteni.....