Recent content by Atropine

  1. Atropine

    JamiiForums Tanzania ONYO KWA WANAWAKE: Kuanika chupi chini ya meza Kunaweza kusababisha ajali, chagua sehemu salama ya kuanikia

    Afisa habari wa CHAPUTA kumbe umeoa!! 😳 Kutwa kuhimiza vijana wajiunge na CHAPUTA ili kulinda uchumi wao kumbe mwanetu unakojolea kwenye utelezi 😁
  2. Atropine

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Wamelipwa ili wawapeleke Vijana wa kitanzania Barabarani na Wameleta watu wa kuwapiga hao vijana ili ionekane ni serikali

    Huyu ni Vuvuzela au Waziri Mkuu? Waziri Mkuu anakua propagandist na mropokaji!! Hivi hii ni Nchi au ghetto la masela?
  3. Atropine

    JamiiForums Tanzania Waislam, kwanini mnawafanya watu mediocre na laymen kuwa viongozi wa dini yenu tukufu?

    😂😂😂😂 Hii ni maajabu. Chanzo cha yote hayo ni Elimu Elimu Elimu
  4. Atropine

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya dada zetu kuwa ombaomba mtaani

    Wengi wanaingia na gia ya kuomba nauri. Wengine huja na style ya "kaka samahani sijala toka asubuhi naomba unisaidie buku nipate chakula". Hua nawabless tu ila najua wanakua kazini.
  5. Atropine

    JamiiForums Tanzania Muswada wa Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act umepitishwa na Kamati ya Mahusiano ya Nje ya Seneti ya Marekani

    Habari ninazopenda kusikia. Mabeberu wanazidi kupeleka moto kwa mbuzi jike.
  6. Atropine

    JamiiForums Tanzania Utapeli: TBC haionyeshi kombe la Dunia

    Mnaangalia match au ukungu 😁
  7. Atropine

    JamiiForums Tanzania TANESCO wakanusha taarifa ya MWAUWASA kuhusu upungufu wa maji Mwanza

    Nchi inaendeshwa kama ghetto la masela. Mifumo haisomani.
  8. Atropine

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Spain Mabingwa wa World Cup 2026 tukutane hapa

    France France France
  9. Atropine

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Polisi hakikisheni ‘Vi-clip clip’ visirushwe, msimame kwenye mambo yenu

    Kwa huyu Tyrant Suluhu, bora hata Kingwendu angekua Rais. 🚮
  10. Atropine

    JamiiForums Tanzania Umaarufu wa bi mkubwa kulikoni

    Suluhu, The Tyrant of 2025.
  11. Atropine

    JamiiForums Tanzania Kuna dawa ya kuacha Pombe?

    Swadaktaaa. Tunywe kistaarabu.
Back
Top Bottom