Conquistador
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 1,435
- 3,499
Ipo mkuu.Habari wakubwa hivi kuna Dawa au njia nzuri ya kuacha mtaumizi ya pombe.
Shukran
Presha
Kisukari
Ukata
Ipo mkuu.Habari wakubwa hivi kuna Dawa au njia nzuri ya kuacha mtaumizi ya pombe.
Shukran
Siyo kila pombe ni chunguAcha tu....na zilivyochungu....mbona unaacha kirahisi tu
Yaelekea una mtiririko mzuri wa fedha,mtiririko ukikata utaacha tu 😀😀Habari wakubwa hivi kuna Dawa au njia nzuri ya kuacha mtaumizi ya pombe.
Shukran
Swadaktaaa.Mwanzo 27:28,
2Nyakati2:10,2:15
Mithali 21:17
Mhubiri 9:7 Nenda ukale chakula chako kwa furaha, ukanywe na divai yako kwa moyo mchangamfu, maana Mungu amekwisha ikubali kazi yako. Vaa vizuri, jipake mafuta kichwani. Furahia maisha pamoja na mke wako umpendaye muda wote wa maisha yako ya bure ambayo Mungu amekujalia hapa duniani; maana hilo ndilo ulilopangiwa maishani, katika kazi zako hapa duniani
Vivyo hivyo mashemasi na wawe wastahivu; si wenye kauli mbili, si watu wa kutumia mvinyo sana, si watu wanaotamani fedha ya aibu 1Timotheo 3:8{ hapa elewa neno lililo tumika "si watu wakutumia mvinyo sana" manake wakitumia kidogo sio kosa ama kwa kifupi wasiwe walevi bali wanywaji}
soma pia 1timotheo 5:23
Torati 14:26 na zile fedha zitumie kwa chochote itakachotamani roho yako, ng'ombe, au kondoo, au divai, au kileo, au roho yako itakacho kwako chochote; nawe utakula huko mbele za BWANA, Mungu wako; tena furahi, wewe na nyumba yako
HIZI NI BAADHI TU YA AYA NAOMBA KWAKO ZINAZO KATAZA POMBE{ MVINYO,DIVAI NA KILEO}
Mtu na uzee wake eti kaacha kipimo 2024.!🤭Mimi niliamua tu kuacha.
Sijanywa tangu January 1 2024.
Nyie masikini washenzi wachafu mnaokufakufa mapema kwa umasikini kila mtu mnamuona mzee, kwa sababu mmezoea kufa mapema.Mtu na uzee wake eti kaacha kipimo 2024.!🤭
Dunia ngumu hii
Ngoja nile kisungura huku na sklow 🤗
Hii ni uhakika kabisaSwadaktaaa.
Tunywe kistaarabu.