Utapeli: TBC haionyeshi kombe la Dunia

Utapeli: TBC haionyeshi kombe la Dunia

Cjui tbc anakwama Wapi aisee, hizo feed Za WC anapewa Bure kabisa na FIFA bila kulipia hata mia tena zote, bc aonyeshe Bila hata mambo ya wachambuzi mana Bongo hakuna wachambuzi zaidi ya matapeli tuu

Muda wote wao n ccm tuu 😔
 
Kabla ya kuita taasisi matapeli unatakiwa kujipa muda wa kujua TBC wanaonesha mechi zipi na zipi hawaoneshi. Kwa kawaida haki ya matangazo yote hupewa wabia wa kibiashara wa FIFA. Lakini televisheni za taifa hupewa baadhi tu ya mechi ambazo huwa za bure na mara zote huwa moja kati ya mechi 3 za siku. Kwahiyo kila siku huonesha mechi moja na ili kujua mechi itakayooneshwa fuatilia ratiba ya kombe la Dunia na kujua FTA(Free to air) ni zipi wala hautapata shida au usikilize matangazo ya TBC maana husema mechi wanazoonesha. Ukitaka kila mechi uangalie lipia chanel za kibiashara. TBC wanaonesha mechi 32 kati ya 104 kwa picha angavu kabisa. Kwa kukusaidia mechi hizo nimeambatanisha, kama haipo hapo usiwasumbue TBC, tumetoka kuangalia mechi ya Ecuador hapa
 
Attachments

  • FB_IMG_1781488774689.jpg
    FB_IMG_1781488774689.jpg
    134.9 KB · Views: 12
Unajua Bwana, niliposikia eti TBC wanadanganya Watu kwamba wataonyesha mechi za kombe la Dunia nikashangaa sana! Kwamba Hawa makapuku wametoa wapi uwezo huo?

Nikajua tu kwamba hawana uwezo huo, Leo nimejaribu kuuliza wadau Kama hicho walichoropoka wametimiza, majibu yake yamenifanya nijipongeze

Ama kweli Mbwa ukimjua jina hakung'ati, Hamna kitu

Poor TBC!

Muhimu: Lengo la kuleta Uzi huu ni kukomesha uongo Tanzania
Wanaonesha acha uongo
 
TBC ni takataka tu, sasa kama hata ligi hii ya mchangani ndio hawawezi kuonyesha watawezaje kuonyesha kombe la dunia 🤣🤣🤣🤣
 
Unajua Bwana, niliposikia eti TBC wanadanganya Watu kwamba wataonyesha mechi za kombe la Dunia nikashangaa sana! Kwamba Hawa makapuku wametoa wapi uwezo huo?

Nikajua tu kwamba hawana uwezo huo, Leo nimejaribu kuuliza wadau Kama hicho walichoropoka wametimiza, majibu yake yamenifanya nijipongeze

Ama kweli Mbwa ukimjua jina hakung'ati, Hamna kitu

Poor TBC!

Muhimu: Lengo la kuleta Uzi huu ni kukomesha uongo Tanzania
Ni uongo usiokuwa na maana yoyote na ni wapuuzi mno,wameshindwa kusambaza signal za fm redio yao,hapa mwanza tu kuna sehemu huipati redio yao seuze kuonesha kombe la dunia! Hivi hawaoni Azam wanavyoonesha kombe la dunia?
 
Ni Aibu KUBWA sana
 
Unajua Bwana, niliposikia eti TBC wanadanganya Watu kwamba wataonyesha mechi za kombe la Dunia nikashangaa sana! Kwamba Hawa makapuku wametoa wapi uwezo huo?

Nikajua tu kwamba hawana uwezo huo, Leo nimejaribu kuuliza wadau Kama hicho walichoropoka wametimiza, majibu yake yamenifanya nijipongeze

Ama kweli Mbwa ukimjua jina hakung'ati, Hamna kitu

Poor TBC!

Muhimu: Lengo la kuleta Uzi huu ni kukomesha uongo Tanzania
Tulijua mapema sana hili
 
Back
Top Bottom